Wanaopinga kuungama dhambi kwa Padri, ndio wapinga Kristo wanaohubiriwa na wasabato na ndio wale wanaosoma maandiko kwa kurukaruka.

Wanaopinga kuungama dhambi kwa Padri, ndio wapinga Kristo wanaohubiriwa na wasabato na ndio wale wanaosoma maandiko kwa kurukaruka.

Soma biblia yako katika andiko hilo la 1tim 2:5 kwamba mpatanishi kati ya wanadamu na Mungu ni mmoja naye ni Yesu kristo. Sio nabii wala mchungaji wala padre.

Ukija kwenye mada ya ubatizo ni pana tutakuja kwenye ubatizo upi ni sahihi, wa maji mengi (aliobatizwa Yesu) au maji machache (mnaobatiza nyie) na ubatizo upi sahihi, kubatiza watoto wadogo au kubatiza watu wazima

Sent using Jamii Forums mobile app
Kubatiza watu wazima wanaojitambua, mtoto hana uchaguzi bado. Yesu alibatizwa akiwa anajitambua.
 
Kweli mkuu
Kweli mkuu maandiko yako wazi ni uvivu wetu kuyasoma na kumtafakari Mungu, ukisoma mathayo 7inafafanua Sana tu

1. Hakuna taasisi hapa duniani aliye champion wa masuala ya kitaaluma kama Kanisa Katoliki. Kanisa Katoliki lina wasomi magwiji katika fani zote za kitaaluma unazozijua wewe. Hata katika anga za mbali,Kanisa lina wasomi wabobezi hatari.Sidhani kama kuna watu wengi,ikiwemo waprotestanti kama wasabato wanafahamu kama Baba wa Genetics Gregory Mendel,alikuwa ni Padri wa Kanisa Katoliki.

2. Ninataka kusema nini hapa? Ni hivi,hakuna dhehebu linaloweza kushindana na Kanisa Katoliki katika masuala ya Teolojia kwa sababu huko ndio liko kongwe kabisa.Kwa hiyo,hiyo habari ya kusema kwamba munayafahamu maandiko matakatifu mintarafu suala hilo la uwezo wa mapadri kuondoa kujidanganya tu. Wasabato mumekuja mwaka 1863, mumelikuta Kanisa lina miaka zaidi ya 1500 linafundisha Teolojia.Kwa hiyo, mnapojigamba kwa lolote kaeni mjitafakari. Ellen White alifundisha kwamba Mungu sio nafsi tatu na hadi leo baadhi ya wasabato mungali mnaamini hivyo.Wakati ninyi mnahangaika na suala hilo,Kanisa Katoliki lilisha-conclude mambo hayo siku nyingi sana.Kwa hiyo,msilione Kanisa liko kimya mnapodanganyana mkafikiri kwamba halina majibu dhidi ya upotoshaji wenu.
 
Jibu rahisi tu. Padiri ni binadamu hasemehi dhambi. Anaesamehe ni MUNGU.Padiri ,mchungaji,Askofu,Shehe n.k wengine hata wametuzidi kwa dhambi. Wewe Mwombe MUNGU akusamehe achana na Padiri. Japo ni kweli kutubu nzuri na yenye msamaha ni ile ya mbepe za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua chimbuko la neno Padre? Hii ni tafsiri tu ya neno Priest, Kuhani,Sacerdode na limetumika kuanzia Agano la Kale kwa mfano Kuhani Melkizedeki aliyetoa sadaka ya mkate na divai kwa Abrahamu.

Little knowledge is very dangerous my brother be careful.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu nakuonea huruma sana! Kama Wewe ni msomaji mzuri wa biblia usingesema hivyo ! Ila Roho wa Mungu akupe akufunguliwe ufahamu wa kuelewa neno lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walokole hawajui maandiko inashangaza mtu anakosoa neno kristu au kristo. Hili ni neno moja Tu yani kiebrania na kigiriki. Ni sawa walokole mnavyotamka mesiya na sisi wakatoliki masiha zt ni lugha Tu. Nawashauri sana walokole acheni kujiinua kujifanya nyie malaika wakti matendo yn tunayaona mtaani hamuishi vzr na jamii hata kdg. Mnapenda mungu mnamchukia kiumbe chake binadamu wakti yesu alisema mpende jirani yko km unavyojipenda mwenywe. Walokole ndgu zangu acheni kujikweza bila kanisa katoliki msingeipata biblia wengine mmesomeshwa na wakatoloki Leo mnalipiga mawe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Mungu akurehemu ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo biblia tuu.....No Catholicism no Christianity......Ukristo ndio Ukatoliki wenyewe kama ulikuwa hujui..
Na yale makanisa saba Yesu aliyomwambia Yohana kwenye kitabu cha ufunuo yametoka wapi? Je mbona Jina Katoliki halimo humo kama ndilo kabisa la kwanza unavyojidai? Umekurupuka ndugu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom