Wanaopinga kuungama dhambi kwa Padri, ndio wapinga Kristo wanaohubiriwa na wasabato na ndio wale wanaosoma maandiko kwa kurukaruka.

1. Kwa hiyo umeambiwa Binadamu hawezi kuondoa dhambi? Kajisomee
Zaidi ya Yote, Marko 2:5-10. Baadhi ya watu walipotilia shaka suala la Yesu katika ubinadamu kuwaondolea watu wengine dhambi, Yesu aliwathibitishia kuwa mwana wa mtu anao uwezo huo wa kuondoa dhambi za walimwengu:

“5Yesu alipoona imani yao, akamwambia huyo mtu aliyepooza,“Mwanangu, umesamehewa dhambi zako.” 6 Baadhi ya waalimu wa sheria waliokuwa wameketi hapo wakawaza mioyoni mwao, 7 “Anathubutuje kusema hivyo? Anamkufuru Mungu! Hakuna mtu awezaye kusamehe dhambi isipokuwa Mungu peke yake.” 8 Yesu alitambua mara mawazo yao, akawaambia, “Mbona mnawaza hivyo mioyoni mwenu? 9 Ni lipi lililo rahisi zaidi: Kumwambia mtu huyu aliyepooza, ‘Umesamehewa dhambi zako,’ au kumwambia, ‘Inuka! Chukua mkeka wako utembee?’ 10 Basi, nataka mjue kwamba Mwana wa Mtu anayo mamlaka ya kuwasamehe watu dhambi duniani.” Hapo akamwambia huyo mtu aliyepooza, 11 “Nakuambia simama; chukua mkeka wako uende nyumbani!”

2. Vile vile, kupitia Luka 5:24, tunaelezwa pia kwamba katika suala la uwezo wa Yesu kuwaondolea watu dhambi alifanya hivyo katika ubinadamu wake na sio kwa ule Umungu wake.

3. Mwinjili Matayo tena katika sura ile ya 18:15-20, anatudokeza jinsi Yesu kabla ya kuwapatia Mitume rasmi uwezo wa kuondolea watu dhambi, alipata kuwadokeza jambo hilo.Uwezo wa kufunga na kufungua ndio kule kuwaondolea watu adhabu za muda mfupi, zitokanazo na dhambi:

“15 Na ndugu yako akikukosa, enenda ukamwonye, wewe na yeye peke yenu; akikusikia, umempata nduguyo.16 La, kama hasikii, chukua pamoja nawe tena mtu mmoja au wawili, ili kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno lithibitike.17 Na asipowasikiliza wao, liambie kanisa; na asipolisikiliza kanisa pia, na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru.18 Amin, nawaambieni, yoyote mtakayoyafunga duniani yatakuwa yamefungwa mbinguni; na yo yote mtakayoyafungua duniani yatakuwa yamefunguliwa mbinguni.19 Tena nawaambia, ya kwamba wawili wenu watakapopatana duniani katika jambo lo lote watakaloliomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni. 20 Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.”
we jamaa, Yesu sio binadamu.
unazingua shekhe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi kwangu tatizo sio kuungama mbele ya Padre, tatizo ni huyo ninayemuungamia anausafi kiasi gani.!?
Mapadre wa miaka ya 73 huko angalau.
 
Ingawa mmesema Mengi, nashauri ungameni kwa Mungu. Hawa wanadamu mnaowambia dhambi zenu wengine ni waovu kuliko ninyi; wengi wao wanawatotot Nje, walevi wa pombe, utumishi wao wamepewa Na wanadamu sio Mungu! Unaogopa kutubu kwa Mungu na ukifa unatamani kwenda kuishi nae! Him haiingii akilini. Jamani hebu tujikabidhi kwa Muumba tuache porojo za madhehebu.
 
we jamaa, Yesu sio binadamu.
unazingua shekhe

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo sio lako bali "Roho mpotoshaji" aliyemuingia William Miller na genge lake la "wasangoma"(akiwemo Ellen White). Kumbe, unajiita Mkristu halafu hujui kama Yesu alikuwa na nafsi mbili(hata leo amebakiwa na hizo nafsi mbili): Umungu na ubinadamu,Tukusaidie kidogo.Katika Teolojia(ambayo ninyi mnaita "thiolojia") kuna kitu kinaitwa Christology.Hiyo ni sehemu ya Taalimungu inayofundisha kwamba Mungu ni nafsi tatu(fundisho ambalo Ellen White aliwaambia ninyi wasabato kwamba siyo kweli):Baba,Mwana na Roho Mtakatifu.Huyo Mwana ili aweze kuja duniani na kukaaa na wanadamu katika mpango wa ukombozi aliamua kujiongezea nafsi ya ubinadamu(ndiyo ile unasikia inaitwa Incarnation au umwilisho).

Kama hujaridhika nieleze nikupatie maandiko kama mlivyozoea kuomba ili upate uzidi kujielimisha,
 
Kama wewe ni Mkatoliki na huu ndio uelewa wako karudie mafundisho ya Ubatizo au Komunio ya Kwanza.
mafundisho yenyewe unafundishwa ukiwa mdogo ili usiwe na akili ya kuhoji...fungua akili jaribu naww kusoma na vitabu vingine using'ang'anie katekisimu tu jomba...jifunze kufikiria na kichwa chako usipende kusaidiwa kufikiria..
 
Tatizo sio lako bali "Roho mpotoshaji" aliyemuingia William Miller na genge lake la "wasangoma"(akiwemo Ellen White). Kumbe, unajiita Mkristu halafu hujui kama Yesu alikuwa na nafsi mbili(hata leo amebakiwa na hizo nafsi mbili): Umungu na ubinadamu,Tukusaidie kidogo.Katika Teolojia(ambayo ninyi mnaita "thiolojia") kuna kitu kinaitwa Christology.Hiyo ni sehemu ya Taalimungu inayofundisha kwamba Mungu ni nafsi tatu(fundisho ambalo Ellen White aliwaambia ninyi wasabato kwamba siyo kweli):Baba,Mwana na Roho Mtakatifu.Huyo Mwana ili aweze kuja duniani na kukaaa na wanadamu katika mpango wa ukombozi aliamua kujiongezea nafsi ya ubinadamu(ndiyo ile unasikia inaitwa Incarnation au umwilisho).

Kama hujaridhika nieleze nikupatie maandiko kama mlivyozoea kuomba ili upate uzidi kujielimisha,
katika hoja niliyoijibia, ulimuweka Yesu kama binadamu asilimia zote bila kuunganisha kuwa alikuwa na nafsi ya Uungu pia kulingana na misingi ya Kikristo, ili uweke msingi wa kumfananisha na Padre ambae nae ni binadamu asilimia zote.
Huu ni uhuni.
By the way, mimi ni Muislam niko hapa tu saabu ninapenda majadiliano ya kidini arifu.

Wewe ndiye unayesoma kwa kurukaruka kama ngedere.....
 
katika hoja niliyoijibia, ulimuweka Yesu kama binadamu asilimia zote bila kuunganisha kuwa alikuwa na nafsi ya Uungu pia kulingana na misingi ya Kikristo, ili uweke msingi wa kumfananisha na Padre ambae nae ni binadamu asilimia zote.
Huu ni uhuni.
By the way, mimi ni Muislam niko hapa tu saabu ninapenda majadiliano ya kidini arifu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Basi, ndio uelewe hivyo kwamba Yesu alikuwa Mungu na Mwanadamu.Uelewa wako wa kiislamu unafanana sana na wa Wasabato ambao wanafikiri Yesu alipokuwa akiondoa dhambi hapa duniani alifanya hivyo katika nafasi ya Umungu kumbe alifanya hivyo katika nafsi ya Ubinadamu ili kuwafundisha na kuwaandaa mitume kwa mamlaka hayo na ndio maana baadaye baada ya yeye Kristu kufufuka alikasimisha mamlaka hayo kwa wanadamu(mitume).

Yesu, katika maisha yake hapa duniani kuna wakati alitenda,kusema na kufikiri kama mwanadamu na kuna wakati alitenda kama Mungu lakini wakati wote nafsi zote mbili hazikuachana hata kidogo.Nimeshagundua kwamba watu wengi nje ya Kanisa Katoliki, imani ya Ukristu ni upotoshaji tu.Ninaahidi kuleta mada mbalimbali hapa na hawa wenye imani ya"ramli" waelewe.Wanajigamba tu lakini hakuna lolote.
 
kulingana na Marko 2:7 alisamehe katika nafsi ya Uungu kwa uelewa wangu wa hilo fungu...,
labda unielezee tofauti kuwa alifanyaje kwa ubinadamu hapa

Ukristu na ukristo ni sawa? Kama ulikuta neno la Mungu kwenye agano jipya imeandikwa Kristo kwa nini humkuacha kama ilivyo? Mbona mnajitoa ufahamu wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kulingana na Marko 2:7 alisamehe katika nafsi ya Uungu kwa uelewa wangu wa hilo fungu...,
labda unielezee tofauti kuwa alifanyaje kwa ubinadamu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kitu gani kinakufanya uone alisamehe katika nafsi ya uungu? Kwanza nikupongeze kwa hatua ya kwanza, kuelewa kwamba Yesu alikuwa Mungu-mtu na hata leo amesalia Mungu-mtu.Hili ndilo fundisho ambalo Waislamu linawapa shida na na ndio maana wanakataa Mungu awezaje kufa msalabani au kula na kwenda chooni kama wanadamu.Na katika mkondo huo pia wapo Mashahidi wa Yehova, Wasabato na baadhi ya waprotestanti.
 
kwanza, UISLAMU WANGU UKO PALE PALE.
haya, kinachonifanya nidhani kwamba msamaha huo ulitolewa kwa mamlaka ya Uungu, ni saabu kwa wakati ule Yesu alikuwa katika nafsi ya Uungu, ona alivyo ponya, alivosoma roho zao zote zikiashiria mamlaka ya Kiungu, na wakati huo huo bila shaka kwa imani ya Kikristo, nafsi ya ubinadamu hapo ilikuwepo sababu alikuwa amesimama nao kwa uwepo wa mwili na nyama..
hata hivo, huoni ni wazi kuwa hata hao Wayahudi ambao ni uzawa wa Nabii Ibrahim walitamka wazi kuwa "mwanadamu kusamehe dhambi ni kufuru"?!
bado nna wasi hapa na mamlaka mnayompatia Padre

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom