USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Kumbe TICS nao mkataba wao ulikuwa usio na mwisho na bado tumewapiga chini na kuvunja mkataba ,so ishu ya muda sio hoja tena lolote linaweza kutokea mbeleni tukabaki na bandari na kuweka kampuni nyingine!.Wala hamsemi
Kumbe ajira zitangezeka hasa kutokana na usafirishaji wa mizigo nje na ndani ya nchi hapa madereva wengi watahitajika kwa kuwa mzigo utakuwa unaingia na kushushwa faster yaani dereva yupo njiani anapigiwa simu afanye haraka kuna mzigo mwingine.wala hamsemi
Kumbe DP wanajenga bandari kavu nchi jirani zote zinazochukua mzigo Tanzania kwa makubaliano ya DP na nchi husika .wala hamsemi
Kumbe DP wanamtandao wa mawakala wa usafirishaji kote duniani hii itaongeza mizigo kwa zaid ya 50% kutoka ilivyo sasa.wala hamsemi
Kumbe bandari itakuza Pato la taifa kutoa 37% ya Sasa Hadi 67 % hii itaifanya nchi iniendeshe yenyewe,wala hamsemi
Kumbe DP wanateknolojia ya ulimwengu wa Kwanza na umejaza wazungu wengi kutoka ukaya na sio waarabu tunao wakataa.wala hamsemi
Kumbe DP inaweka mtambo pale ikulu ili serkali ijue kiwango cha mizigo inayoingizwa na kusafirishwa na mapato,Wala hamsemi.
Kumbe kutakuwa na kamati ya watanzania na watu wa DP itakayokuwa inakusanyika Kila mwisho wa wiki kungalia tija.wala hamsemi.
Kumbe bandari zote za maziwa na bahari za Tanzania zitaendelezwa kwa kuungwa na mifumo na miundombinu .Wala hamsemi
Kumbe wabunge ambao ndio wawakilishi wetu wameshirikishwa kila hatua na wametoa maoni na serkali inayafanyia kazi,wala hamsemi.
Kumbe wanaopinga huu mkataba wanalipwa pesa za kuponda.wala hamsemi.
Mwenye hoja aje ajibiwe ,msikae kimya jf ni shule tuwafundishe