Wanaopinga mkataba wa DP World njooni hapa mseme mnataka nini?

Kwanza TICS Ni kitu gani?
You may have a brain but I daught if you use it.
 
Kumbe ni kuendeleza bandari kiuchumi na kijamii tu wala hamsemi mko bize na aliyesaini

USSR
Kuna mtu aliulizia bei ya Toilet Paper, kindly find attached FYA...
 
Attachments

  • Screenshot_20230714.jpg
    122.2 KB · Views: 1
Hata wanao pinga ni kufukirika tu maana bado mkataba wenyewe na DP bado hawaja anza kuoparate

USSR
Pande zote (watetezi na wapinga mkataba) wanazo hoja, lakini, lakini, lakini japo matokeo ya uwekezaji huo ndio yataamua nani mkweli, jibu litapatikana kwenye Chaguzi za Kitaifa zijazo.
 
Binafsi sielewi hasa wanataka nini maana Kila walichozusha na kupotosha Serikali imejibu vizuri kabisa..

Sana sana ni chokochoko so wanaweza shughulikiwa.
 
Binafsi sielewi hasa wanataka nini maana Kila walichozusha na kupotosha Serikali imejibu vizuri kabisa..

Sana sana ni chokochoko so wanaweza shughulikiwa.
Yani pamoja na kelele zote za wananchi hata mama bado anajidai hajuii tatizo liko wapi kwenye hili jambo??? Wanajua sana ila kujitoa ufahamu tu tahiraa pekee ndo anaweza kubali mkataba usiokuwa na kikomoo...mkataba usioweza kuuvunja.
 
Tueleze wewe tatizo ni lipi?
 
Nashukuru kuwa umekiri mkataba/makubaliano hayakuwa na mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…