Wanaopinga mkataba wa DP World njooni hapa mseme mnataka nini?

Mnadhanani kuna lugha mtakayozungumza kwa wakati huu mkaeleweka ?
 
Wanachosema ni kipi na wewe majibu yako ni yapi ? Sidhani kama yote wanayoongea / waliyokuwa wanaongea haujayasikia na kama haujasikia hata ukiambiwa tena itakuwa ni yaleyale watu kupoteza muda...

As unayosema yatafanyika (we have been here before, promised the moon and failed to deliver even the stars)
 
Kumbe bandari zote za maziwa na bahari za Tanzania zitaendelezwa kwa kuungwa na mifumo na miundombinu .Wala hamsemi
Huo nao ni Upotoshaji.

Haingii akilini kwa mtu yeyote yule anayejua Miundombinu maana yake nini kwamba mifumo iliyokuwepo sasa hivi haijaunganika kwa namna moja au nyingine: Kwanza hilo ni tusi, yaaninl unataka kutuaminisha miundombinu iliyopo sasa hivi na mifumo yake unganishi hazijaungwa? Unataka kusema Waarabu, samahani DPW ndio wenye akili kuzidi Mainjinia wetu? Yaani hawakufanya systems analysis?

Aidha unatukana, au Unajiondoa Ufahamu, au Unapotosha kwa makusud...mimi nasema ni yote hayo hapo juu!

Ongezea peteroli...Watanganyika tuko macho....na tutasema
 
Kumbe wanaopinga huu mkataba wanalipwa pesa za kuponda.wala hamsemi.
Kumbe wanaoUnga mkono wamekula Rushwa? Wametoa ahadi, wamepewa ahadi?

Najua fika yupo yule Mtanganyika mwenye haya madudu yenu. Ipo siku tutawavalisha magwanda ya machungwa na ikibidi kuwabeba kwenye matenga barabarani mkielekea lupango
 
Kwi kwi kwi the teh teh

Majadiliano yepi tena? Unaota? Hayo mmbona yaliisha zamani baina ya nchi na nchi.

Hapa unapiga porojo na Watanzania, umelala?
Umekula hongo wewe mumla nguruwe ...ila mutatapika hizo burunguti za Walodi
 
Hata wanao pinga ni kufukirika tu maana bado mkataba wenyewe na DP bado hawaja anza kuoparate

USSR

Kusubiri mpaka kitu kitokee - ndio huitwa “kukosa maono”. Wengi wanaopinga wanataka kuona matarajio katika units ili kupima matarajio iwe rahisi. Kukosekana kwa units ni shida kubwa. Hakuna mkataba mzuri unaokosa units!!!
 
Kwi kwi kwi the teh teh

Majadiliano yepi tena? Unaota? Hayo mmbona yaliisha zamani baina ya nchi na nchi.

Hapa unapiga porojo na Watanzania, umelala?
Unakosea unaposema Nchi na Nchi, sema Nchi na Jimbo
 
Wewe kesi yako ya utapeli USA iliishaje? Ulilambwa miaka mingapi? Unafikiri tumekusahau?
Achana na porojo nguru.we wewe hata na walevi wanatoa hoja za mantiki ule mkataba sijuwi makubaliano na Walodi ni mavi yko tuu
 
Toka lini kelele za mlango zikamstuwa mwenye nyumba?
Mlango ni nani na mwenye nyumba ni nani ?

Unaweza kudhani unakula kumbe unaliwa - Nadhani historia imetufundisha wananchi mtaani ndio wenye nchi - refer french revolution....
 
Kumbe TICS nao mkataba wao ulikuwa usio na mwisho na bado tumewapiga chini na kuvunja mkataba ,so ishu ya muda sio hoja tena lolote linaweza kutokea mbeleni tukabaki na bandari na kuweka kampuni nyingine!.Wala hamsemi

Kumbe ajira zitangezeka hasa kutokana na usafirishaji wa mizigo nje na ndani ya nchi hapa madereva wengi watahitajika kwa kuwa mzigo utakuwa unaingia na kushushwa faster yaani dereva yupo njiani anapigiwa simu afanye haraka kuna mzigo mwingine.wala hamsemi

Kumbe DP wanajenga bandari kavu nchi jirani zote zinazochukua mzigo Tanzania kwa makubaliano ya DP na nchi husika .wala hamsemi

Kumbe DP wanamtandao wa mawakala wa usafirishaji kote duniani hii itaongeza mizigo kwa zaid ya 50% kutoka ilivyo sasa.wala hamsemi

Kumbe bandari itakuza Pato la taifa kutoa 37% ya Sasa Hadi 67 % hii itaifanya nchi iniendeshe yenyewe,wala hamsemi

Kumbe DP wanateknolojia ya ulimwengu wa Kwanza na umejaza wazungu wengi kutoka ukaya na sio waarabu tunao wakataa.wala hamsemi

Kumbe DP inaweka mtambo pale ikulu ili serkali ijue kiwango cha mizigo inayoingizwa na kusafirishwa na mapato,Wala hamsemi.

Kumbe kutakuwa na kamati ya watanzania na watu wa DP itakayokuwa inakusanyika Kila mwisho wa wiki kungalia tija.wala hamsemi.

Kumbe bandari zote za maziwa na bahari za Tanzania zitaendelezwa kwa kuungwa na mifumo na miundombinu .Wala hamsemi

Kumbe wabunge ambao ndio wawakilishi wetu wameshirikishwa kila hatua na wametoa maoni na serkali inayafanyia kazi,wala hamsemi.

Kumbe wanaopinga huu mkataba wanalipwa pesa za kuponda.wala hamsemi.

Mwenye hoja aje ajibiwe ,msikae kimya jf ni shule tuwafundishe

USSR
warudi kwao hata sisi tunaweza kuziendesha wenyewe.
 
Soma kwa kutulia acha kelele unadhani makontena yatajipeleka mwenye bandari kavu

USSR
Wacha we!

Uliona wapi mtu akisoma anakuwa anapiga makelele?

Mbona hausemi unapotosha mpaka hilo unalo nikaripia!

Ngoja sindano iingie, daqa bado
 
Kumbe TICS nao mkataba wao ulikuwa usio na mwisho na bado tumewapiga chini na kuvunja mkataba ,so ishu ya muda sio hoja tena lolote linaweza kutokea mbeleni tukabaki na bandari na kuweka kampuni nyingine!.Wala hamsemi

Kumbe ajira zitangezeka hasa kutokana na usafirishaji wa mizigo nje na ndani ya nchi hapa madereva wengi watahitajika kwa kuwa mzigo utakuwa unaingia na kushushwa faster yaani dereva yupo njiani anapigiwa simu afanye haraka kuna mzigo mwingine.wala hamsemi

Kumbe DP wanajenga bandari kavu nchi jirani zote zinazochukua mzigo Tanzania kwa makubaliano ya DP na nchi husika .wala hamsemi

Kumbe DP wanamtandao wa mawakala wa usafirishaji kote duniani hii itaongeza mizigo kwa zaid ya 50% kutoka ilivyo sasa.wala hamsemi

Kumbe bandari itakuza Pato la taifa kutoa 37% ya Sasa Hadi 67 % hii itaifanya nchi iniendeshe yenyewe,wala hamsemi

Kumbe DP wanateknolojia ya ulimwengu wa Kwanza na umejaza wazungu wengi kutoka ukaya na sio waarabu tunao wakataa.wala hamsemi

Kumbe DP inaweka mtambo pale ikulu ili serkali ijue kiwango cha mizigo inayoingizwa na kusafirishwa na mapato,Wala hamsemi.

Kumbe kutakuwa na kamati ya watanzania na watu wa DP itakayokuwa inakusanyika Kila mwisho wa wiki kungalia tija.wala hamsemi.

Kumbe bandari zote za maziwa na bahari za Tanzania zitaendelezwa kwa kuungwa na mifumo na miundombinu .Wala hamsemi

Kumbe wabunge ambao ndio wawakilishi wetu wameshirikishwa kila hatua na wametoa maoni na serkali inayafanyia kazi,wala hamsemi.

Kumbe wanaopinga huu mkataba wanalipwa pesa za kuponda.wala hamsemi.

Mwenye hoja aje ajibiwe ,msikae kimya jf ni shule tuwafundishe

USSR
Samia piga kazi achana na wakala wa majizi
 
Umesoma nilicho andika lakini ,DP wanaweza kupandisha kutoka 37%hadi 67%

USSR
Na wewe ulimsikiliza Mbarawa Bungeni? Hata hivyo
DPW haji Tanzania kuja kuiongezea Mapato Serikali...(Sio Dhamira yake) .na ndio tunasema hatuwezi kumuachia Muarabu atutingishie kibiriti... na 40%(tuliyojijengea kwa jasho la mtanzania).hatuwezi tukumuachia mgeni awe ana control mapato ya Serikali! Unajua maana ya Sovereign? Unajua uhuru wetu wa kujiamlia ndio unaweza kutekwa hapo, au unajiondoa ufahama?

Nimekusoma nimekujibu
Usipotoshe
 
Wewe unao uhakika kwa lipi zaidi ya kisio biashara zote ni makisio tu

USSR
Nina uhakika na majibu niliyokupa katika bandiko langu #40 huko juu kwa hoja yako hii hapa
"Kumbe DP wanamtandao wa mawakala wa usafirishaji kote duniani hii itaongeza mizigo kwa zaid ya 50% kutoka ilivyo sasa.wala hamsemi'
 
Tangu mjiamulie mmefanga nini la maana

Back
Top Bottom