Wanaopinga mkataba wa DP World njooni hapa mseme mnataka nini?

Wanaopinga mkataba wa DP World njooni hapa mseme mnataka nini?

Huo nao ni Upotoshaji.

Haingii akilini kwa mtu yeyote yule anayejua Miundombinu maana yake nini kwamba mifumo iliyokuwepo sasa hivi haijaunganika kwa namna moja au nyingine: Kwanza hilo ni tusi, yaaninl unataka kutuaminisha miundombinu iliyopo sasa hivi na mifumo yake unganishi hazijaungwa? Unataka kusema Waarabu, samahani DPW ndio wenye akili kuzidi Mainjinia wetu? Yaani hawakufanya systems analysis?

Aidha unatukana, au Unajiondoa Ufahamu, au Unapotosha kwa makusud...mimi nasema ni yote hayo hapo juu!

Ongezea peteroli...Watanganyika tuko macho....na tutasema
Hoja zangu zimekuwa kaa la Moto kwako

USSR
 
Classified

Ussr
Mbona bandari ya Berbera bunge la nchi hiyo lilitangaza kuwa DPworld amepewa kuendesha bandari kwa miaka 35 ni kipi mnakifanya siri?

Au mnafurahia taharuki?
 
Mbona bandari ya Berbera bunge la nchi hiyo lilitangaza kuwa DPworld amepewa kuendesha bandari kwa miaka 35 ni kipi mnakifanya siri?

Au mnafurahia taharuki?
Yale yalikuwa MOU tu sio kila kilichoandikwa pale ni sheria

USSR
 
Nchi gani
Amejiondoa ufahamu na haya chini
dp-dubai-png.2663330

Yaani huyu amechaguliwa Kuwa Murugenzi na hapo hapo kupewa madaraka ya kuwakilisha mfalme wa Dubai mahususi kwa ajili ya Mkataba. IGA?
Halafu kuna huyu
dp-samia-png.2663328

Waziri Mnyaa Mbarawa! Serikali kamili!
 
Hoja zangu zimekuwa kaa la Moto kwako

USSR
Farijika. Ukimbuke na Utafakari....Usinge leta hayo uliyayabandika kama vile mna utelezi na Ajenda yenu!

kama bwana Yohana mbatizaji asemayo...".Lala Mnono"
 
Kumbe TICS nao mkataba wao ulikuwa usio na mwisho na bado tumewapiga chini na kuvunja mkataba ,so ishu ya muda sio hoja tena lolote linaweza kutokea mbeleni tukabaki na bandari na kuweka kampuni nyingine!.Wala hamsemi

Kumbe ajira zitangezeka hasa kutokana na usafirishaji wa mizigo nje na ndani ya nchi hapa madereva wengi watahitajika kwa kuwa mzigo utakuwa unaingia na kushushwa faster yaani dereva yupo njiani anapigiwa simu afanye haraka kuna mzigo mwingine.wala hamsemi

Kumbe DP wanajenga bandari kavu nchi jirani zote zinazochukua mzigo Tanzania kwa makubaliano ya DP na nchi husika .wala hamsemi

Kumbe DP wanamtandao wa mawakala wa usafirishaji kote duniani hii itaongeza mizigo kwa zaid ya 50% kutoka ilivyo sasa.wala hamsemi

Kumbe bandari itakuza Pato la taifa kutoa 37% ya Sasa Hadi 67 % hii itaifanya nchi iniendeshe yenyewe,wala hamsemi

Kumbe DP wanateknolojia ya ulimwengu wa Kwanza na umejaza wazungu wengi kutoka ukaya na sio waarabu tunao wakataa.wala hamsemi

Kumbe DP inaweka mtambo pale ikulu ili serkali ijue kiwango cha mizigo inayoingizwa na kusafirishwa na mapato,Wala hamsemi.

Kumbe kutakuwa na kamati ya watanzania na watu wa DP itakayokuwa inakusanyika Kila mwisho wa wiki kungalia tija.wala hamsemi.

Kumbe bandari zote za maziwa na bahari za Tanzania zitaendelezwa kwa kuungwa na mifumo na miundombinu .Wala hamsemi

Kumbe wabunge ambao ndio wawakilishi wetu wameshirikishwa kila hatua na wametoa maoni na serkali inayafanyia kazi,wala hamsemi.

Kumbe wanaopinga huu mkataba wanalipwa pesa za kuponda.wala hamsemi.

Mwenye hoja aje ajibiwe ,msikae kimya jf ni shule tuwafundishe


USSR
Mkuu USSR! Mi naomba uniletee page ambayo pande zote 2 za Serikali zilisain, yaani Serikali ya Tanzania pia Serikali ya Dubai iliposaini! Walioshuhudia utiaji sain uo kila upande pia wakiambatanishwa na majina yao wote na vyeo vyao.

USSR ukileta ili mi naunga mkono mkataba uendelee.
 
Kwi kwi kwi the teh teh

Majadiliano yepi tena? Unaota? Hayo mmbona yaliisha zamani baina ya nchi na nchi.

Hapa unapiga porojo na Watanzania, umelala?
Share zao Nasdaq zimeshanona. Jamaa wa wallstreet wanapiga cheers. The monopoly ya bandari ulimwenguni via Dubai by Jews.
 
CCM hawajawahi pungukiwa utapeli hizo % kila wakifanya jambo huwa wanapenda ziweka
 
Na wewe ulimsikiliza Mbarawa Bungeni? Hata hivyo
DPW haji Tanzania kuja kuiongezea Mapato Serikali...(Sio Dhamira yake) .na ndio tunasema hatuwezi kumuachia Muarabu atutingishie kibiriti... na 40%(tuliyojijengea kwa jasho la mtanzania).hatuwezi tukumuachia mgeni awe ana control mapato ya Serikali! Unajua maana ya Sovereign? Unajua uhuru wetu wa kujiamlia ndio unaweza kutekwa hapo, au unajiondoa ufahama?

Nimekusoma nimekujibu
Usipotoshe
Mkuu Tatizo Elimu Hasa Somo la Civics halikuwekewa Kipaumbele Toka malezi ya baba na Mama Familia hadi [emoji128] hadi shuleni na vyuoni!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Mhe. PROF. MAKAME MNYAA MBARAWA (Mb) Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Akiwa mjini Dodoma, Tzania, kutia saini kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai Kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kwa ajili ya maendeleoView attachment 2687041

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani hii haiwezi Kuwa backdated???
Ikarekebishwa Mkuu???
 
Back
Top Bottom