Kinachokutia kiburi ni kujidanganya kwamba mnao ma-'Rear Admiral' na Majenerari wengine uliodiriki kutuonyesha hapa.
Kiburi mnachoonyesha na kuwadharau waTanzania ni kuamini kwenu kwamba mitutu wanayoshikilia akina Jumanne Murilo; akina ACP Awadh na wengineo ndiyo itakayo wahakikishia usalama wenu katika kulinajisi taifa hili.
Ni nani asiyejuwa kwamba mmeweka wateule wa GENGE kila eneo hadi magereza na kwenye mahakama hadi kwenye mawasiliano na Usalama wa taifa, ili kulinda maslahi yenu.
Sasa mnawatumia hao hao kuwanyanyasa waTanzania.
Kwa hiyo mbinu zote sasa zinajulikana. Dawa mtainywa kwa nguvu.
"...tuacheni tuajengee nchi kazi ambayo mlishindwa." Akili ile ile ya kujiona kuwa nyinyi siyo wala ugali wa mahindi!
Maana yake ni kwamba sisi wala ugali wa mahindi bila ya nyinyi hatuwezi kufanya maendeleo ya nchi yetu.
You're worse than a rotting corpse!