GE2025 Wanaopinga uteuzi wa Samia wataje wagombea wao ili tumpime

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sijasoma huu ushuzi maana najua hakuna la.maana uliloandika.

Nani kasema anampinga Samia ili aweke mtu wake amtakaye? Hakuna kitu kama hiko, wanapinga kubinywa kwa katiba ya nchi pamoja na katiba, sheria, kanuni na miongozo ya chama.

We hilo la kutaka kuweka mtu wao umelitoa wapi?

Uchawa una gharama sana ikiwemo kujivua utu ili kumridhisha bosi wako.
 
Inaonekana umeota mavuz miaka ya 2000 ! Mwinyi alishindanishwa na wagombea wawili Salim na Kawawa.. lkn Mwalimu amkamuomba kawawa apumzike awaachie wazanzibar maana ilikuwa zamu yao sasa unaleta simple logic kumhalalishe kahaba wenu !
 
Samia kakataliwa na watanzania hasa watanganyika kwa asilimia 95% ni kikundi kidogo cha wahuni na waislamu wanafiki ndiyo kinamuunga mkono kwa maslai yao binafsi siyo ya taifa
 
Mteule wenu hatakiwi wekeni mpira kati watu wachukue form atakae shinda ashinde atakae shindwa ashindwe,watu hawataki rais anayeongozwa na kichwa cha Msoga.
Kwashima tu kama unadhani Samia anaogopa upinzani ndani ya CCM !!

embu tutajue mpinzani wandani ya CCM 2020 wakati wa RIP JPM tuanzie apo. ???

CCM inatamaduni yake!

Nyinyi bakin na Chadema yenu Mtafika tu Ikulu ya Ubelgiji!!!!
 
Tutajie kwanza 2020 RIP JPM alipambana nanani ???

kwann nyinyi Wapinzani ndio mnataka kuwapangiwa CCM chakufanya ?.
Fuateni taratibu mlizojiwekea wenyewe basi!

Mama yenu afuate utaratibu uleule uliotumika kumpitisha JPM 2020 hata kama hatashindana na mtu.

Huyo Dr Malisa na Polepole ni wanaCCM wenzenu wamehoji.
 
Fuateni taratibu tu, kwani hizi sarakasi zote ni za kitu gani?

Kuna kitu mnakiogopa na mgombea wenu?
Ndiyo. Kuna kitu tunakiogopa. Hakubaliki ndani ya ccm. Hakubaliki na watanganyika. Kwa umri wangu, sijawahi kuona mgombea ambaye HAKUBALIKI kama huyu ndo maana kwa kulijua hili, JK akafanya vile.
 
Dr Philipo Mpango kuwa Rais ni the best option kwa CCM
 
Ndiyo. Kuna kitu tunakiogopa. Hakubaliki ndani ya ccm. Hakubaliki na watanganyika. Kwa umri wangu, sijawahi kuona mgombea ambaye HAKUBALIKI kama huyu ndo maana kwa kulijua hili, JK akafanya vile.
Hahahahaha naona kagoma hata kuteua sasa, week imeisha sijasikia UTEUZI wala UTENGUZI
Dr Philipo Mpango kuwa Rais ni the best option kwa CCM
Kajichokea yule nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…