Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
NyumbuYani ⌚💯 jamani wakukosa mpinzani?!
Nina hakika mimi hapa binafsi ni bora kuliko yeye

wamekubaliana? alafu nkuulize swali? kama mtu hayupo ccm au vyama vingine, anakuaje mpinzani? yan ccm yeyote atakae sema ukweli ni mpinzani? haya mzee yule wa moshi kaja tena na vifungu vya sheria vilivyovunjwa. Anyways unadhani hizi query zote zinazoraise ni kawaida tu?....haya tuyaache haya yote. Wanachosema hawa watu ni kweli?...kama ni uongo kipingeni kwa hoja.Kwann Mnaolalamika ni Wapinzani wa CCM??? Wenye CCM yao Wamekubaliana kila kitu kimeenda sawaa
Eti huyu Mzee Malisa anasema uteuzi umevunja Katiba ya Jamhuri kwakuwa Katiba inasema shughuli za uchaguzi zinaanza baada ya bunge kuvunjwa. Na hii ni hoja yenye maana jamani?Fuateni taratibu tu, kwani hizi sarakasi zote ni za kitu gani?
Kuna kitu mnakiogopa na mgombea wenu?
😅😅Period!!! 😂
Hilo ni takwa la kikatiba kila baada ya miaka mitano kuwepo na chaguzi na katiba ya ccm pia inasema hivyo ila waliwekeana utamaduni awe aliepo madarakani kama ameongoza mitano ila sasaivi wanataka katiba yao ifuatwe sasa hapo aliepo madarakani asitumie dhamana ya kofia alizonazo kutaka awe yeye tuHv kama utamaduni wao ni rais kuongoza miaka 10, kwann wanaweka mchakato wa kupigiana kura wakati tayari utaratibu wanaujua?
Mahakama ya rufaa ya vyama vya siasa ni Mkutano wao Mkuu. Mkutano Mkuu uko juu ya kanuni, tamaduni na taratibu zooooooote ndani ya vyama. Kama wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama wamesema ndiyoooooooooo wewe ni nani kama sio kujitafutia shida wewe mwenyewe?Kila zama na kitabu chake sawa.
Lakini kitabu cha wakati huu kimekiukwa.
Nyerere alikuwa muumini mkubwa wa Muungano. Salim hakuungwa mkono na wajumbe wa zanzibar tena waziwazi bila woga kwenye vikao. Samia aliungwa mkono na wajumbe wengi kama sio woooote wa Mkutano Mkuu kutoka Bara na visiwani. Wewe ni mkubwa kuliko Mkutano Mkuu wa chama? yaani wajumbe wooote hao ni matahilla ispokuwa wewe?Wacha uongo. Salim Ahmed Salim alifanyiwa hujuma gani; hujui?
Lakini pamoja na kujisahaulisha hayo, ninakushukuru sana kwa kuweka hiyo video ya huyo mwananchi. Kama ndani ya nchi hii bado wamo wananchi wa aina hii, kwa nini tuwe na hofu hivi?
Unasoma Katiba ya nchi gani inayosema hivyo? Umesoma wapi katiba inasema makamu wa Rais mwisho wake ni miaka 10 na hawezi kuwa Rais. Nyie mnataka kuvunja Katiba sasa.Miaka 6 akiwa makamu na miaka 4 akiwa raisi uoni hio ni 10 tayari na awamu kabisa, au akiwa makamu hio sio awamu?
Kama akili ndio hizo HATA akiwa mbunge asigombee urais tena.Nmeandika utaratibu wao hapo afu tena unaniuliza Wana utaratibu gani 🗑️
Bro, unajielewa?
Sasa kuwa makamu na kuwa rais kuna ingiliana vp?
Bc na mtu akiwa Waziri afu akija kuwa rais nae miaka yake ihesabike kama ulivyosema hapo.
Iwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.
Kila zama na Kitabu chake. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapiga kura za ndio au hapana, na hakuna aliyehoji ukosekanani wa wagombea wengine.
Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.
Wakati wa Mkapa, Nyerere pia alikuwa na kura ya turufu kwenye uteuzi wa mgombea na kwenye uchaguzi uliofuata Mkapa hakuwa na mpinzani kutoka CCM.
Wakati wa Magufuli, akina membe walikatazwa kuchukua fomu ya kuwania ili kwendana na desturi ya CCM.
Hata Samia inafahamika kuwa CCM Ina utamaduni wa kuachiana ili Rais atimize miaka 10 yake bila bughuza.
Hawa akina Malisa na wenzake waliojificha (ghosts) wamtaje mgombea wao tumfahamu ili wote tuseme kweli huyu anazo sifa nyingi bora kuliko Samia na Nchimbi.
View: https://youtu.be/qkFhiIcXePw?si=5gSDThTeJqAfNsAg
Membe wakati anafukuzwa uwanachama kwa kung'ang'ania kugombea ilikuwa kwa maslahi ya nani?kwanini Taratibu zimevunjwa? kwa Maslai ya Nani?....

Hivi kumbe huna akili? Makamu wa Raisi ni Raisi, anatekeleza majukumu ya Raisi, ana anahudumiwa vile Raisi anavyohudumiwa, anakaa ikulu, na anachukua full control Raisi anapokuwa hayupo,anaumwa au amekufa kama ilivyo sasa, kwahiyo kwa kifupi muda wake wa miaka 10 umeisha, Raisi sio waziri, waziri anateuliwa na Raisi, ila Raisi anachaguliwa, huyo ameshachaguliwa mara mbili katika nafasi hiyo hiyo ya uraisiNmeandika utaratibu wao hapo afu tena unaniuliza Wana utaratibu gani 🗑️
Bro, unajielewa?
Sasa kuwa makamu na kuwa rais kuna ingiliana vp?
Bc na mtu akiwa Waziri afu akija kuwa rais nae miaka yake ihesabike kama ulivyosema hapo.
Kimekiukwa wapi? Tangu lini na wewe umeanza kuwa nyumbu wa kudandia agenda za kupita!Kila zama na kitabu chake sawa.
Lakini kitabu cha wakati huu kimekiukwa.
Huyo ameshamaliza miaka yake 10 kwenye kiti cha uraisi hakuna alichobakiza zaidi labda tamaa tu, awaachie wengine taifa letu soteKwa maelezo haya fuateni utaratibu basi, maana hapo hakuna utaratibu uliofuatwa. Miaka kumi unamuhesabia vipi samia, minne kamaliza unamtafutia 6? Au unamtafutia 10 aanze kuitumikia?...tuelewe she nasi tupate elimu Yako kidogo
Kwanini mlazimisha awe mgombea pekee, badala ya watatu kama ilivyo utaratibu? muwekeeni wengine wawili hapo ili wawe watatu wajumbe wapige kura wanayemtakaKimekiukwa wapi? Tangu lini na wewe umeanza kuwa nyumbu wa kudandia agenda za kupita!