GE2025 Wanaopinga uteuzi wa Samia wataje wagombea wao ili tumpime

GE2025 Wanaopinga uteuzi wa Samia wataje wagombea wao ili tumpime

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama unayo hoja na unadhani ni hoja yenye manufaa kwa taifa na chama unaitoa tu hata kama nani yuko ndani ya mkutano au la. Ukiona mtu anaogopa kutoa hoja yake ujue kuwa hiyo hoja haiko sawasawa; ni majungu au hisia zake tu.

Siasa ni mkakati unaotumia mbinu mbalimbali. Usalama wa taifa upo kwaajili ya kumpatia taarifa Amirijeshi Mkuu wa majeshi na Mkuu wa nchi. Bila shaka kulikuwa na taarifa ya uwepo wa wakora ndani ya mkutano.
Kwani watoa hoja huoni wanavyopigwa spana? ila wasifiaji wanakula bata
 
Samia kakataliwa na watanzania hasa watanganyika kwa asilimia 95% ni kikundi kidogo cha wahuni na waislamu wanafiki ndiyo kinamuunga mkono kwa maslai yao binafsi siyo ya taifa
Samia hajakataliwa na wapiga kura wa Tanzania, alikuwa mgombea mwenza wa JPM kwa miaka mitano pia ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM kabla hajawa Rais.

Mnasumbuliwa na dhambi ya ubaguzi kwa maana ya ule ukristo uliojificha ndani ya mioyo yenu na nyuma ya ID Fake za hapa JF.
 
Mnataka tuwaseme ili mjue Hatuko pamoja na Nyie Mtuteke.

Hatusemi nyie ambieni watanzania wachague wenyewe, ila saivi mtu kusema flani na flani ni kujitaftia matatizo.

Na ujinga wenu Ugomvi wetu hasira mnaenda malizia ndugu zetu,watoto ambao hata siasa hawazijui.

Hampendwi
 
Sasa nimeelewa kwanini Karume kule visiwani watu walichukua maamuzi magumu.
 
Duniani kuna watu huwezi kuwaelewesha kitu wakaelewa na hao watu inabidi uwaache, maana utachoka. Wewe ni mmoja wapo. Kwa kuwa kosa alikukemewa wakati wa Nyerere basi liendelee kutokukemewa> I see
Kuna watu ambao ni slow leaners. Hata hujui maana ya ku "set precedency". Precedency maana yake jambo linalotokea leo linalofanana jambo lilitokea jana yenye mazingira yanayofanana yatapewa majibu yanayofanana. Na hiyo ndio inayotengeneza kitu kinachoitwa desturi.

Kwanza Tanzania hatukuwa na desturi ya kufiwa na Rais aliyeko madarakani, hivyo hatukuwa na desturi ya kuwapata marais baada ya kufiwa na Rais, ndiyo maana tukatumia Katiba ya nchi badala ya desturi za CCM kwenye kuwapata wagombea. Lakini CCM wanayo desturi ya kumpata mgombea urais kwa kwa kipindi cha pili, na wameitumia kwa Samia. Hapo sasa wameset precedency mpya kwa siku zijazo kama Rais kutoka kwao atafariki au kuondoka na kama Mkutano Mkuu wa Chama utaamua kumtangaza mgombea wake mapemaaa ili watu wamjue mapema na kumjadili kama wakipenda. Kukiuka desturi hakuvunji katiba ya chama kwakuwa desturi is something nice to observe not must.
 
Iwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu wanafaa kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.

Kila zama na Kitabu chake. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapiga kura za ndio au hapana, na hakuna aliyehoji ukosekanani wa wagombea wengine.

Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.

Wakati wa Mkapa, Nyerere pia alikuwa na kura ya turufu kwenye uteuzi wa mgombea na kwenye uchaguzi uliofuata Mkapa hakuwa na mpinzani kutoka CCM.

Wakati wa Magufuli, akina membe walikatazwa kuchukua fomu ya kuwania ili kwendana na desturi ya CCM.

Hata Samia inafahamika kuwa CCM Ina utamaduni wa kuachiana ili Rais atimize miaka 10 yake bila bughuza.

Hawa akina Malisa na wenzake waliojificha (ghosts) wamtaje mgombea wao tumfahamu ili wote tuseme kweli huyu anazo sifa nyingi bora kuliko Samia na Nchimbi.

View: https://youtu.be/qkFhiIcXePw?si=5gSDThTeJqAfNsAg

Tundu Lissu, embu mpime huyu.
 
Ndo swali langu linakuja, kwann wapigiane kura wakati wao wnyw wameweka utamaduni wa rais kuongoza miaka 10?
Walioweka utamaduni ni wao ccm na haohao ccm ndio hawautaki utamaduni kwa sasa kwanini wasiwaheshimu ?
 
Kwa desturi yetu "sisi CCM" subiri 2030 ndiyo unyanyue shindo yako juu.
Unahamisha magoli, hoja ni kuwa Samia siyo mgombea halali kwani mchakato wa kumpata ulinajisiwa na kinachotokana na najisi ni najisi.
 
Bora wangekwenda mahakamani,ili muwajue wanafikiri nini.
Kimya ni hatari sanq
Mtia nia mmoja anajulikana kuwa ni Gwajima, aliwaahidi wanajeshi kuwa eti yeye atawapa mishahara minono na kuwabadilishia kazi kutoka ulinzi wa nchi kwenda kujenga barabara ili waoate fedha. Anasahau kuwa watu wa Kawe aliwaadi mambo mengi na hajatekeleza hata moja.
 
Unahamisha magoli, hoja ni kuwa Samia siyo mgombea halali kwani mchakato wa kumpata ulinajisiwa na kinachotokana na najisi ni najisi.
Woga wenu ndio uliowaponza hadi mkapigwa vichwani na kitu kizito, kama mlikuwemo ndani ya Mkutano Mkuu wakati wagombea wanapitishwa lakini mlikaa kimya mnaonyesha namna msivyofaa (cowards). It is too late to catch the rat. Ningekuwa mm nina hoja za msingi ningeisema hata ikibidi kufia humo ndani ya ukumbi. ningeisema tu hata kama wengi wangenipinga na kushinda mm ningekuwa nimeonyesha demokrasia yangu ndani ya Mkutano na ndani ya chama. Kulalamika nje ya mkutano after the fact is a sign of coward, laziness and insanity.
 
Kuna watu ambao ni slow leaners. Hata hujui maana ya ku "set precedency". Precedency maana yake jambo linalotokea leo linalofanana jambo lilitokea jana yenye mazingira yanayofanana yatapewa majibu yanayofanana. Na hiyo ndio inayotengeneza kitu kinachoitwa desturi.

Kwanza Tanzania hatukuwa na desturi ya kufiwa na Rais aliyeko madarakani, hivyo hatukuwa na desturi ya kuwapata marais baada ya kufiwa na Rais, ndiyo maana tukatumia Katiba ya nchi badala ya desturi za CCM kwenye kuwapata wagombea. Lakini CCM wanayo desturi ya kumpata mgombea urais kwa kwa kipindi cha pili, na wameitumia kwa Samia. Hapo sasa wameset precedency mpya kwa siku zijazo kama Rais kutoka kwao atafariki au kuondoka na kama Mkutano Mkuu wa Chama utaamua kumtangaza mgombea wake mapemaaa ili watu wamjue mapema na kumjadili kama wakipenda. Kukiuka desturi hakuvunji katiba ya chama kwakuwa desturi is something nice to observe not must.
Mmejikita sana kwenye "whataboutism", what about this, what about this! Kila mtu akileta kitu nyie "what about JPM", What about Mkapa, what about Nyerere.
 
Iwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu wanafaa kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.

Kila zama na Kitabu chake. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapiga kura za ndio au hapana, na hakuna aliyehoji ukosekanani wa wagombea wengine.

Wakati wa Mzee Mwinyi, Mwl Nyerere aliteua tu mgombea na zikapogwa kura za Ndivyo au Hapana na Mwinyi akawa Rais, Mzee malisa alikuwepo lakini hakuhoji.

Wakati wa Mkapa, Nyerere pia alikuwa na kura ya turufu kwenye uteuzi wa mgombea na kwenye uchaguzi uliofuata Mkapa hakuwa na mpinzani kutoka CCM.

Wakati wa Magufuli, akina membe walikatazwa kuchukua fomu ya kuwania ili kwendana na desturi ya CCM.

Hata Samia inafahamika kuwa CCM Ina utamaduni wa kuachiana ili Rais atimize miaka 10 yake bila bughuza.

Hawa akina Malisa na wenzake waliojificha (ghosts) wamtaje mgombea wao tumfahamu ili wote tuseme kweli huyu anazo sifa nyingi bora kuliko Samia na Nchimbi.

View: https://youtu.be/qkFhiIcXePw?si=5gSDThTeJqAfNsAg

Hata sio mimi na pinga ila cc na wajumbe wa mkutamo mkuu wanahamu ya kula kichwa.
 
Ushasikia wapi kura zinapigwa ikiwa mpigiwa kura yuko hapo hapo, halafu kukawa na uhuru hapo, si unaona wajumbe walitaka atoke nje akagoma?
Ushawahi kupiga kura kwenye uchaguzi wowote? Mbona mpigiwa kura na wapiga kura wote wanapanga foleni na hakuna kinachoharibika! Je kwa kufanya hivyo kimekiukwa kifungu gani
 
Utawajuaje wagombea wengine kama unatumia ubabe kujipitisha na kusema fomu ni moja?
 
Mmejikita sana kwenye "whataboutism", what about this, what about this! Kila mtu akileta kitu nyie "what about JPM", What about Mkapa, what about Nyerere.
Trend, pattern, precedency huwezi kuviweka pembeni. Ndio mwelekeo wetu. Kama baba anakula bila kunawa mikono hata mtoto atakula bila kunawa na usimfanye kitu. Ni Rais mjinga tu ambae hatasoma, kutenda na kusema mambo yaliyowavusha/kuwasaidia watangulizi wake. Yaani mnataka atende vinginevyo ili atondoke kirahisi. JPM alipoingia madarakani alikuta vuguvugu la mtangulizi wake la katiba mpya, lakini akasema hadharani kuwa hataandika Katiba mpya na ataitumia katiba hiihii kuinyoosha nchi kwanza. Katiba hii ni tamu kwa kiongozi, kwahiyo samia ndiye ambae hautaki utamu huo?
 
Back
Top Bottom