GE2025 Wanaopinga uteuzi wa Samia wataje wagombea wao ili tumpime

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Akina polepole ni chaedema au Act?
Polepole mtafute kabla ya JPM RIP ndio utajua alikuwa CCM au ni mpinzani sio mbali kwanzia 2015 tu kaamia CCM baada ya kupewa minofu na JPM !!!

sasa Minofu kanyang,anywa ulitegemea abaki bado CCM !!!!

Ata mpenzi wako ukitumia pesa kumpata siku pesa zikikata jua atasepa tu.!!

tena sio kimya kimya utapewa maneno ya Shombo ili usimtafute tena !!

Uyo ni pesa tu ndio kafata sio chengine !!!

Polepole naye ndio ivyo kashapata Njia nyengine ya kupata pesa tegemea tu matusi yataelekezwa kwa CCM..

Wenye CCM kina Nape January nk piga uwa watabaki CCM tu. Ata kama kukosoa watakosoa na watabaki tz sababu wao ni zao la CCM !!

watakachokosoa kina ukweli sio cha kinafiki!!

mtu katafuta pango kwanza la kujificha ndio anakosoa haaaaa.,

CCM imejifunza kitu kuokota okota watu ni tatizo kubwa !!

ikitokea kakosea na ukitaka kumwadhibu yeye hataki kuadhibiwa ajazoea kuadhibiwa

tofaut na mwana CCM kindaki ndaki.
 
Tutajie kwanza 2020 RIP JPM alipambana nanani ???

kwann nyinyi Wapinzani ndio mnataka kuwapangiwa CCM chakufanya ?.
Kamsikikize polepole itakusaidia kujua taratibu za chama chenu
 

Maza mwenyewe anawajua. Awaachie wachukue form tuwaone. Anaogopa nini....!?
 
Tatizo mnajibu au kutetea hoja isiyopo Mezani, TUNATAKA UTARATIBU UFUATWE hata kama ni yeye, yaani hii chama kikoswe mgombea !! Yupo riziwani🤣🤣
 
Duniani kuna watu huwezi kuwaelewesha kitu wakaelewa na hao watu inabidi uwaache, maana utachoka. Wewe ni mmoja wapo. Kwa kuwa kosa alikukemewa wakati wa Nyerere basi liendelee kutokukemewa> I see
 
Akili ni kitu muhimu sana.

Hakunq anaepinga yeye kuwa Mgombea
Ishu ni kwanini hafuati process
 
Acha bangi Ww jamaa, hy comment ya kujielewa sio yako, kwan hujaona hapo kuna comment za aina mbili? Acha kuparamia comment zisizokuhusu, hy nilikuwa nmemjibu huyo jamaa anajiita a view to a kill,

Kitulize
 
Watu wanataka taratibu na sheria zifuatwe tu hata kama unamtaka mama saaana, afuate due process tu umpe kura sio kujipakulia pishi loooote mwenyewe namna hiyo, hamna ntu mwenye ntu wake, period
 
Utaratibu wa kutaja wagombea vichochoroni haupo,

Mchakato ulibakwa,

Urudiewe, baas !
 
Fuateni taratibu tu, kwani hizi sarakasi zote ni za kitu gani?

Kuna kitu mnakiogopa na mgombea wenu?
Kwani wakati ule walipokuwa wanapiga kura za ndio au hapana walikuwa wanaogopa nini? Kuwa serious kijana, CCM wana akili za kijamaa na moyo wa kibepari,
 
 

Attachments

  • facebook_video_1748779613934.mp4
    1.1 MB
Yani ⌚💯 jamani wakukosa mpinzani?!
Nina hakika mimi hapa binafsi ni bora kuliko yeye
 
Huu ndio ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…