Wanaoponda kutoa sadaka kwa watumishi wakumbuke kila mtu hutoa sadaka, tofauti ni unatoa wapi

Wanaoponda kutoa sadaka kwa watumishi wakumbuke kila mtu hutoa sadaka, tofauti ni unatoa wapi

Usipotoa sadaka kanisani basi utatoa kwa waganga lakini utatoa.

Sadaka sio pesa tu hata wanyama, kuku unaoenda kutambika huko kwenu ni sadaka.

NB: Sadaka ni Ile inayompendeza Mungu, tusimuibie.

Waganga ndio mitume na manabii wa waafrika tusijitoe akili na kudharau asili kisa dini za kigeni.
 
Back
Top Bottom