M Mnafiki Wa Kujitegemea JF-Expert Member Joined Dec 30, 2022 Posts 3,751 Reaction score 6,337 Oct 11, 2023 #21 Mjomba Fujo said: Nawapa kongole matapeli wa kiimani kwa kujipigia pesa kiulaini kabisa. Click to expand... Kabisa.
Mjomba Fujo said: Nawapa kongole matapeli wa kiimani kwa kujipigia pesa kiulaini kabisa. Click to expand... Kabisa.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Oct 11, 2023 #22 Donatila said: Usipotoa sadaka kanisani basi utatoa kwa waganga lakini utatoa. Sadaka sio pesa tu hata wanyama, kuku unaoenda kutambika huko kwenu ni sadaka. NB: Sadaka ni Ile inayompendeza Mungu, tusimuibie. Click to expand... Waganga ndio mitume na manabii wa waafrika tusijitoe akili na kudharau asili kisa dini za kigeni.
Donatila said: Usipotoa sadaka kanisani basi utatoa kwa waganga lakini utatoa. Sadaka sio pesa tu hata wanyama, kuku unaoenda kutambika huko kwenu ni sadaka. NB: Sadaka ni Ile inayompendeza Mungu, tusimuibie. Click to expand... Waganga ndio mitume na manabii wa waafrika tusijitoe akili na kudharau asili kisa dini za kigeni.