Wanaosali kwa Mwamposa asilimia tisini ni waislam

Haina ubaya iwapo wanaenda kupata majibu ya mahitaji yao na kupita .

Mungu ni mmoja tu alotuumba Wanadamu ukisoma agano la kale Waislam na Wakristo ni kitu kimoja .

Kwenye Agano jipya ndiko kumeleta tofauti.
 
Umeshasema dini ya waarabu Kisha unasema huko hapa kukashifi dini Sasa nikuulize uislamu ni dini ya waarabu
 
Kuropoka usichokijua na kukashifu wakristo Ni wazi huelewi kilichopo ndani .
Punguza uchungu na chuki
 
Sheria gani inakataza ? ikiwa katika kingereza au lugha yeyote inaitwa tafsiri ya Qu'ran na hakuna ubaya kujua tafsiri kwani lengo ni kuelewa vizuri kiarabu inabaki kama msingi na ndio Qur'an yenyewe.
Ala kakataza..hujui kuwa yeye hajui lugha zaidi ya kiarabu unataka kumchanganyia mafaili.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Njoo kesho ukanyage mafuta huku ukila keki ya upako ukishushia na majo ya upako..

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wewe mwenyeakili unafanya nini kwa wajinga?

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mbona Yesu alitumwa kwa kondoo waliopotea vipi na yeye alipotea ?

Na Manabii je waliotumwa kwa watu wakosefu kuwarekebisha katika njia iliyokuwa sawa vipi walikua nao wakosefu?

Nb:Ukiwa na akili ya kutafakari maswali niliyokuuliza hapo juu na majibu yake itakua nadhani itatosha kwa kwako kutambua umefikia daraja lipi la ujinga ..
 
Barikiwa sana mtumishi..damu ya Yesu kristo ikubariki.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…