Wanaosali kwa Mwamposa asilimia tisini ni waislam

Injili ya Yesu hufungua watu wote mkuu waache waislam wafunguliwe.
 
Muishukuru serikali kuwapatia bajet ya mabilioni la sivyo ukiristo usingekuwepo
Akili za vilaza hivi..leta ushahidi wa hay mabiliona lasivyo mnajazwa upuuzi..watu mmejaa ubaahili na umasikini..mkiona makanisa na mashule na mahospital yanajengwa na waumini mnaaanza kulia lia eti wanalipwa na serikali...akili imebeba makamasi tupu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Watu hao hawaendi "kuabudu" wanaenda kwa mganga wa kienyeji.
Kuitikia "kwa damu ya Yesu" kwao ni sawa na kuitikia "tawire" kwa mganga wa kienyeji, ni upuuzi mtupu
 
Watu hao hawaendi "kuabudu" wanaenda kwa mganga wa kienyeji.
Kuitikia "kwa damu ya Yesu" kwao ni sawa na kuitikia "tawire" kwa mganga wa kienyeji, ni upuuzi mtupu
Kwani mtu ambae ni mganga wa kienyeji ni dhambi kidini? Waislam wote nijuavyo ni waganga wa kienyeji ndio mana hata matangazo ya nyota, mvuto na dawa za nguvu za kiume utawakuta shekh Yahya sijui shekh idrisaa
 
Kiongozi we umejaliwa saana kuwaza upuuzi
 
Kuna waumini na kuna waislam, muumin hawezi kwenda huko, hao ni wanafiki haijalishi ni rangi gani.
Kama ni hivyo basi nyie waislam wengi hamna din maana kwa mwamposa wanajaa sanaa waislam mpaka wanagombaniana viti na wakristo😀😀😀 na sio kanisa hilo tu nimeona hata kwa nicholas suguye waislam kibao na wengi wanabatizwa na kuwa wakristo sijui kwanini siku hizi waislam wanakimbilia ukristo kwa kasi sana
 
Muislamu ulisha wahi kumuona wapi hapa tanzania?
Tanzania hakuna waislamu kuna WAISIHARAMU TU ndiyo wapo kwa mwamposa na misikitini
 
Ni kweli nilikuwa huko usiku wa VUKA NA CHAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…