Wanaosali kwa Mwamposa asilimia tisini ni waislam

Wanaosali kwa Mwamposa asilimia tisini ni waislam

Kikinuka nini? We jamaa boya nini
Ndio maana ukaitwa MPWAYUNGU yaani kupwayuka pwayuka tu!!!!!!! leta maada za msingi Imani za watu achana nazo Kama ameona huko kunamsaidia yeye wewe yanakuhusu nini? Eti huyu muislam kaenda kanisani wewe unateseke Nini? Aibu juu yako peleeeka Mirembe Pima akili yako bhebhe.
 
Hpa 50 50 watu pale wanaingia elf 20 ksa jpili moja tu sas kwa taarifa yako wengin Ni wakristo tu Kam mm huwenda siku moja moja nafsi ikipatikana
 
Katika viumbe wasio na kitu kichwani basi hawa wakristo wanaoliwa sadaka na kina Mwamposa,Suguye,Mzee wa upako, n.k ni viumbe waliobeba kamasi kichwani maana wanavyomtajirisha mtu kwa kuigiziwa miujiza aisee!

Kuna jamaa hapa JF Aliwahi kuandika mada inayomhusu Mwamposa walikuwa wanapigika nae kitaa leo ni nabii na mtume shenzi kabisa.

Mnaambiwa mkatoe sadaka za kujimaliza urudi mifuko imetoboka inasikitisha sana dini kuwa na waumini mbumbumbu na watu matapeli wanajiita manabii.
 
Katika viumbe wasio na kitu kichwani basi hawa wakristo wanaoliwa sadaka na kina Mwamposa,Suguye,Mzee wa upako, n.k ni viumbe waliobeba kamasi kichwani maana wanavyomtajirisha mtu kwa kuigiziwa miujiza aisee!

Kuna jamaa hapa JF Aliwahi kuandika mada inayomhusu Mwamposa walikuwa wanapigika nae kitaa leo ni nabii na mtume shenzi kabisa.

Mnaambiwa mkatoe sadaka za kujimaliza urudi mifuko imetoboka inasikitisha sana dini kuwa na waumini mbumbumbu na watu matapeli wanajiita manabii.
Punguza jaziba mkuu unafoka sana
 
Kuna ubaya kutafsiri Quran kwa lugha nyingine ndo watoto madrasa wanakariri Quran mfano Quran ingekua inatafsiriwa kiswahili hakukua na haja ya watoto kukariri huko madrasa
Kuna umuhimu mkubwa wa Qu'ran kuwa katika lugha ya asili ,kwanza inakuwa rahisi kuhifadhi na ingekuwa kwa lugha nyingine ingekuwa ngumu mtu kuhifadhi hata juzuu moja la pili neno kwa kadri unavyotoa katika uasili wake linazidi kupoteza maana ila kama kuna asili ipo panapotokea tofauti katika kutafsiri au kuelewa unarudi kwenye lugha asilia.

Watoto umri waadrassa wanafundishwa kukariri tu ni kwa sababu umri huo ndio mtu hushika mambo na kuhifadhi kwa haraka na ndio maana wanapofika umri fulani kuanzia baleghe wanafundisha tafsiri na ujumbe uliokusudiwa Ktk Qu'ran kwani kuanzia umri huo ni njia Kuelekea utu uzima hivyo elimu ya makatazo na maamrisho ni muhimu mno ili kumjenga kuwa mtu bora kwa baadae.

Na lengo la Qu'ran sio kusoma na kukariri peke yake bali lengo kuu ni kuelewa kutafari ujumbe na kufanyia kazi hivyo kama mtu haujui kiarabu hakuna makosa kusoma tafsiri ili upate kuelewa hali ya kua unaweza kuisoma.
029dd89d6236bb489cfb4b3285d47bb7.jpg


Na hapa wamekemewa wale wanaokariri tu bila kuelewa na kutuekeleza maamrisho na makatazo
DHlyZbKXYAAFpw1.jpg


Nyingine umetolewa mfano wa anayesoma kibubusa kama ngaima alibeba mzigo wa Taurati hivyo haelewi kabeba nini na alichobeba kina umuhimu gani.
Screenshot_20220806_145215.jpg
 
Waende au wasiende haibadilishi kitu katika dini wala kuongeze na hakuna anayejali kwani mwisho wa siku kila mtu atapambana na mzigo wake na kila anachofanya mtu kiwe chema au kiovu ni juu yake mwenyewe.View attachment 2316058
Wenye dini yao wanasema Quran haijatafsiriwa Kwa lugha yoyote,au hujui kuwa pepo (firidihausi) wanaongea kiarabu pia?
 
Hili nimeshuhudia kwa macho ya nyama mubashara kabisa, ni waislam wengi sana huenda kwa Mwamposa kufata miujiza, wengi wao ni wale biashara haziendi, wengine wakidhani wamerogwa, wengine vichaa, wengine wanatafuta wanaume wa kuwaoa na hili kundi la kuolewa ndio wengi zaidi ya wagonjwa.

Waarabu kibao wanaenda kwa Mwamposa. Naukitaka kuwakamata vizuri hawa waislam waambie Kuna mafuta na ndio maana Mwamposa anawanasa kwa mwanvuli wa mafuta ya upako, maana hii dini ya kiarabu inaamini zaidi katika marashimarashi kama mzaituni, sijui manukato ya tende na harua n. k.

N. B. Sipo hapa kukebehi dini ya mtu yoyote japo dini haimilikiwi na mtu ila nipo hapa kueleza yalipo kwa Mwamposa kuwa wanaoenda ni waislam na ni wengi zaidi ya mahudhurio ya msikiti wa Kwamtoro.

Bila kuweka picha hii ni
IMG_3194.jpg
 
Kwahiyo unataka kusemaje?

Lengo lako ni kutaka kujulisha nini?

Acha ushamba..!

Sio kila mvaa kanzu, hijabu, shungi ni muislaam. Hata wewe waweza vaa na hamna anayekuzuia...

Na si kila anayeitwa juma, ramadhani ni muislaam. Ni majina tu kama lilivyo jina la kinjikitile ngwale...

Yeyote unayemuona kwa mwamposa. Ujue ni muumini wa mwamposa na dini yake... Wala hakuna muislaam pale.

Waislaam utawakuta msikiti wanaswali na wanaifuata dini yao kwa mafundisho sahihi.
 
Back
Top Bottom