Huyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.
Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.
Kuna msemo unasemaga ya ngoswe mwachie ngoswe. Na mimi na mwachia ngoswe... kupepeta sana mdomo ni kuongelea relationships za watu ni ujinga.
Baba wa mtoto niko hapa......tafadhali msinijumuishe kwenye ugomvi wenu....[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Mmh mzee unamuona wewe.
Naamini nikikuweka wewe na Zari, wewe ndio
Utakuwa mzee.
Mwambie Hamisa atafute baba wa huyo
Mtoto
bila shaka wew utakuwa mjinga! unawezaje kuishi bila kuongelea mambo ya wengine. unapomzungumzia Magufuli, Kikwete na wengine hapo unaongelea mambo ya wengine. labda ungesema katakana muktadha upi
Hamisa sawa wewe ni kijana na Zari ni mzee.... sasa tafuta baba wa mtoto wako au mtaje hadharaniHuyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.
Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.
Eti banaaa hahahahahaHamuwasemi Mama zenu Wanao bokelewa na bodaboda mnakazania maisha ya wengine acheni kuwa na kinyampwipwi
Huyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.
Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.
Ukipewa jibu nitag?Kwa mfano ungepata nafasi ya kumto.mba zari ungeikataa?