Wanaosapoti Diamond kuendelea kuishi na Mzee badala ya kuchukua kijana wanapaswa kushangaliwa

Huyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.

Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.
Hopeless

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mwanaume yeyote mtafutaji hawezi kumwacha Zari.!
 
Huyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.

Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.
Duuh watu wanafatilia kwel kwel
 
Pambaneni na hali zenu.....Umaskini hauwezi kukuacha salama ukiendelea kuhangaika na ya wengine.. Wewe hapo mahusiano yako yapoje?
 
team diamond mapovu kwa sana! duuuuuuhhhh!
 
Tatizo letu waswahili ni umbea,husda,unafiki na fitina,watu wako na mapenzi yao,hawaombi chochote kutoka kwako wewe inakuhusu nini kifuatilia mapenzi yao,afu ukute ni mtoto wa kiume.Akili za kimasikini hizo,acha watu waishi watakavyo na wewe ujishuhulishe na vinavyokuhusu.
Au ulitaka uwekwe wewe ndani.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Achen umbea wewe mtu ulienae unafkir ni sahihi kuwa nae au kisa sio watu maarufu wabongo bn mnapenda vimada vya kujadili watu atakae maindi narudia tena

truth=freedom
 
Kuna wengine mnasema zari mzee ila tukiwasimamisha pamoja na miaka yenu hyo midg mmechoka kama nini live your life

truth=freedom
 
Mimi kipengele cha umri kwenye mapenzi nilishakifuta.... Kila mtu ana flavor yake, mwingine papai kwa mwingine boga. Sidhani kama hajawaona hao unaowaona vijana. Mi naona poa tu.... as long as the guy is happy let him be. Hayo mambo ya umri achana nayo cha msingi tu asiwe underage.

"A voice of one calling in the wildernes"
 
Ukiambiwa utoe tafsiri ya mzee hutakuwa na majibu,kabla hamjaposti thread muwe mnafanya turisechi, umri wa yule dada sio wa kumuita Mzee
 
Diamondplatnumz nimemfuatilia mahojiano yake na media nyingi anadai kamwe hatakuja kukataa mtoto na alisema kuna binti mmoja yuko mwanza aliwahi kutembea naye kipindi ndo anaanza kupata umaarufu na Yule binti alidai kapata mimba ya diamondplatnumz lakini diamond alienda mpaka mwanza akamwambia niletee mtoto binti akaingia mitini na diamondplatnumz anasema kama yuko tayari amletee huyo mtoto yeye amlee lakini mpaka leo kimya!,juzi alipo kuwa clouds akihojiwa kwenye kipindi cha XXL diamondplatnumz alisikika akisema"sijawahi kutembea na hamisa na labda ule ukaribu alonao yeye na ndugu zangu ndo watu wanadhani sisi ni wapenzi,au labda ule wimbo wa Salome ndo unaleteleza hayo yote,ndo maana sitakagi kufanya shooting bongo maana uswahili mwingi,na hata kama ningekuwa na uhusiano nae kwa nini nifiche?,hivi unadhani huyo bwana yake aliye mpa ujauzito anaposikia haya maneno maneno anajisikiaje?,hebu na yeye ajitokeze aongelee na aseme aliye mpa mimba sasa anachoogopa ni nini?"mwisho wa kunukuu.
Jamani nyie hamjui hamisa anatafuta followers wengi?sasa hivi watu wengi wana mfollow na yeye ndo anachotengeneza kama mlikuwa hamjui,halafu hawa watu wanaodai hamisa anamtoto wa diamondplatnumz ndo walikuwaga wanadai tiffah siyo mtoto wa diamondplatnumz hatimae mtoto anawaumbua baada ya kufanana na baba yake,haikutosha wakaamia kwa nillan mwisho wa siku nillan naye kawaumbua hivyo wameona njia pekee ya kuachanisha uhusiano wa diamondplatnumz na zari ni kuzusha hamisa anamtoto wa diamondplatnumz na siku zinakuja watainamisha nyuso chini kwa aibu!
 
Huyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.

Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.
Wewe ni giggy money nini? Uliyesema Upo tayari kumpa hadi uvunguni? Ndo umekuja huku kuharibu mapenzi ya watu
 
Badala ya kusema unataka Diamond akuoe wewe, unazunguka zunguka tu.
 
Diamondplatnumz nimemfuatilia mahojiano yake na media nyingi anadai kamwe hatakuja kukataa mtoto na alisema kuna binti mmoja yuko mwanza aliwahi kutembea naye kipindi ndo anaanza kupata umaarufu na Yule binti alidai kapata mimba ya diamondplatnumz lakini diamond alienda mpaka mwanza akamwambia niletee mtoto binti akaingia mitini na diamondplatnumz anasema kama yuko tayari amletee huyo mtoto yeye amlee lakini mpaka leo kimya!,juzi alipo kuwa clouds akihojiwa kwenye kipindi cha XXL diamondplatnumz alisikika akisema"sijawahi kutembea na hamisa na labda ule ukaribu alonao yeye na ndugu zangu ndo watu wanadhani sisi ni wapenzi,au labda ule wimbo wa Salome ndo unaleteleza hayo yote,ndo maana sitakagi kufanya shooting bongo maana uswahili mwingi,na hata kama ningekuwa na uhusiano nae kwa nini nifiche?,hivi unadhani huyo bwana yake aliye mpa ujauzito anaposikia haya maneno maneno anajisikiaje?,hebu na yeye ajitokeze aongelee na aseme aliye mpa mimba sasa anachoogopa ni nini?"mwisho wa kunukuu.
Jamani nyie hamjui hamisa anatafuta followers wengi?sasa hivi watu wengi wana mfollow na yeye ndo anachotengeneza kama mlikuwa hamjui,halafu hawa watu wanaodai hamisa anamtoto wa diamondplatnumz ndo walikuwaga wanadai tiffah siyo mtoto wa diamondplatnumz hatimae mtoto anawaumbua baada ya kufanana na baba yake,haikutosha wakaamia kwa nillan mwisho wa siku nillan naye kawaumbua hivyo wameona njia pekee ya kuachanisha uhusiano wa diamondplatnumz na zari ni kuzusha hamisa anamtoto wa diamondplatnumz na siku zinakuja watainamisha nyuso chini kwa aibu!
Wasanii wanaishi kwa stunt au kiki so kwa akili ya kawaida hata kama yule mtoto ni wake hawezi kukubali kwny media coz dunia nzima inajua kuwa mpenzi wake ni zari na bado wako pamoja so ile kukubali kuwa amemzalisha mobetto n kujishushia heshima kwa mafansi na kwa jamii kwa ujumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pambana na mahusiano yako ewe kichupi kunuka............tena kamwambie uyo hamisi sijui nani atafute baba wa mtoto wake aache kushobokea vya wenzie msiiiiiiew[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom