- Thread starter
- #81
Tatizo letu waswahili ni umbea,husda,unafiki na fitina,watu wako na mapenzi yao,hawaombi chochote kutoka kwako wewe inakuhusu nini kifuatilia mapenzi yao,afu ukute ni mtoto wa kiume.Akili za kimasikini hizo,acha watu waishi watakavyo na wewe ujishuhulishe na vinavyokuhusu.
Au ulitaka uwekwe wewe ndani.
kumbe siku hizi kusema ukweli nako umekuwa umbea. poor you