Wanaosapoti Diamond kuendelea kuishi na Mzee badala ya kuchukua kijana wanapaswa kushangaliwa

Wanaosapoti Diamond kuendelea kuishi na Mzee badala ya kuchukua kijana wanapaswa kushangaliwa

Tatizo letu waswahili ni umbea,husda,unafiki na fitina,watu wako na mapenzi yao,hawaombi chochote kutoka kwako wewe inakuhusu nini kifuatilia mapenzi yao,afu ukute ni mtoto wa kiume.Akili za kimasikini hizo,acha watu waishi watakavyo na wewe ujishuhulishe na vinavyokuhusu.
Au ulitaka uwekwe wewe ndani.

kumbe siku hizi kusema ukweli nako umekuwa umbea. poor you
 
Huyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.

Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.
Mbona mama yako mzee lakini yupo tu na baba yako?
 
Hela inamfanya zari aonekane binti kuliko huyo. Mabeto wenu



Dai dini inaruhusu ukinogewa na mabeto oa usimwache zari kwa sabab za kishamba kama umri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20759174_150996102148057_926406071877107712_n.jpg
 
Hayatuhusu. Kwanza Diamond mwenyewe alishasema Zari kwa muonekano wa ndani ni kijana kuliko wote ambao amewapitia. Yaani utafikiri hajazaa. Muonekano wa nje ndiyo kabisaa mashalaaah!!
 
Inasikitisha sana..

Na ni...

Dhambi kubwa sana, kushabikia mapenzi ya watu...

Kama hizo taarifa ni za kweli... Huyo jamaa hana akili na wala hana adabu...


Cc: mahondaw
 
Yaani kuna mijitu humu haifahi hata kuwepo kwenye jukwaa la wasomi Kama hili, yaani huu upumbavu na mawazo yako sijui umefikili kwa kutumia nini unatuletea hapa. Nyambavu kabisa wapi wamesema mkubwa hawezi ishi na mdogo? Hebu pelekeni ujinga huu facebook kwa la saba wenzenu sio hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi anipe mamaake aone kama sinta mbokowa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom