HopelessHuyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.
Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.
Mzee mwenzangu mambo yanabadilika kwa kasi sanaMkuu ningekuwa na uwezo ningevifomat vichwa vya vijana wote....
Mzee mwenzangu mambo yanabadilika kwa kasi sana
Duuh watu wanafatilia kwel kwelHuyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.
Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.
Wewe ni giggy money nini? Uliyesema Upo tayari kumpa hadi uvunguni? Ndo umekuja huku kuharibu mapenzi ya watuHuyu mtalaka wa Ivan kiukweli ni mzee ambaye kwa hakika siyo saizi ya kuishi na Diamond. Ninampongeza Diamond kwa kuanza kuchukua hatua za kumuacha taratibu na kitendo cha kumzalisha mwanamke mwingine ni ujumbe tosha kwa Zari kuwa muda si mrefu atajinasua katika mikono ya bibi huyo na kuingia katika ndoa ya Hamisa Mabetto ambaye ni saizi yake.
Kama unapingana na Diamond kuachana na huyu Zari.
Wasanii wanaishi kwa stunt au kiki so kwa akili ya kawaida hata kama yule mtoto ni wake hawezi kukubali kwny media coz dunia nzima inajua kuwa mpenzi wake ni zari na bado wako pamoja so ile kukubali kuwa amemzalisha mobetto n kujishushia heshima kwa mafansi na kwa jamii kwa ujumla.Diamondplatnumz nimemfuatilia mahojiano yake na media nyingi anadai kamwe hatakuja kukataa mtoto na alisema kuna binti mmoja yuko mwanza aliwahi kutembea naye kipindi ndo anaanza kupata umaarufu na Yule binti alidai kapata mimba ya diamondplatnumz lakini diamond alienda mpaka mwanza akamwambia niletee mtoto binti akaingia mitini na diamondplatnumz anasema kama yuko tayari amletee huyo mtoto yeye amlee lakini mpaka leo kimya!,juzi alipo kuwa clouds akihojiwa kwenye kipindi cha XXL diamondplatnumz alisikika akisema"sijawahi kutembea na hamisa na labda ule ukaribu alonao yeye na ndugu zangu ndo watu wanadhani sisi ni wapenzi,au labda ule wimbo wa Salome ndo unaleteleza hayo yote,ndo maana sitakagi kufanya shooting bongo maana uswahili mwingi,na hata kama ningekuwa na uhusiano nae kwa nini nifiche?,hivi unadhani huyo bwana yake aliye mpa ujauzito anaposikia haya maneno maneno anajisikiaje?,hebu na yeye ajitokeze aongelee na aseme aliye mpa mimba sasa anachoogopa ni nini?"mwisho wa kunukuu.
Jamani nyie hamjui hamisa anatafuta followers wengi?sasa hivi watu wengi wana mfollow na yeye ndo anachotengeneza kama mlikuwa hamjui,halafu hawa watu wanaodai hamisa anamtoto wa diamondplatnumz ndo walikuwaga wanadai tiffah siyo mtoto wa diamondplatnumz hatimae mtoto anawaumbua baada ya kufanana na baba yake,haikutosha wakaamia kwa nillan mwisho wa siku nillan naye kawaumbua hivyo wameona njia pekee ya kuachanisha uhusiano wa diamondplatnumz na zari ni kuzusha hamisa anamtoto wa diamondplatnumz na siku zinakuja watainamisha nyuso chini kwa aibu!