Wanaosema kazi au ajira hakuna, tuambieni mnataka kazi zipi?

Sawa acha tuonane wazembe maana aliyeshiba hamjui mwenye njaa , email zisizo jibiwa,interview bila matokeo,shughuri duni zisizo kizi mahitaji ambazo wewe unaziita ajira tele

Sema nini kama una makebo makubwa ulombwe tu huna akili
 
uchuuzi1Jamaa atakuwa "Mha-wa Kazuramimba" anaona kuuza kashata na kutembeza vyombo ndio ajira badala angezungumzia kufufuliwa kwa viwanda vilivyogezwa kuwa Car wash
Ni nani wa kufufua hivyo viwanda?
 
Je unajua bei ya chakula cha hao kuku ni kiasi gani? Unajua bei ya dawa za kuku? (Achana na mitishamba ya Farmer's Centre?

Si vyema kuchukulia vitu kirahisirahisi, zama zimebadilika sana.

Usilinganishe vibarua na kazi ndg
 
Sawa acha tuonane wazembe maana aliyeshiba hamjui mwenye njaa , email zisizo jibiwa,interview bila matokeo,shughuri duni zisizo kizi mahitaji ambazo wewe unaziita ajira tele

Sema nini kama una makebo makubwa ulombwe tu huna akili
Ujuzi wako unaweza kutengeneza au kuvumbua nini? Au ndio elimu makaratasi!
 
Je unajua bei ya chakula cha hao kuku ni kiasi gani? Unajua bei ya dawa za kuku? (Achana na mitishamba ya Farmer's Centre?

Si vyema kuchukulia vitu kirahisirahisi, zama zimebadilika sana.

Usilinganishe vibarua na kazi ndg
Kwa nini kuku wa kienyeji wanazidi kupungua?
 
Tanzania's overall unemployment rate stands at 6.2%, with the youth unemployment rate (ages 15–35) hovering around 10%. While the country experiences sustained GDP growth of about 6%, up to 71.8% of the workforce remains informal, facing a persistent challenge of high job creation deficits against a rapidly growing labor market.
 
Mkuu, hapo hamna KAZI, kuna vibarua tuu.
 
Serikali haijengi viwanda, sekta binafsi ndio inajenga viwanda.
Acha upuuzi na acha kulishwa maneno ya wanasiasa ma-mbulula.
  • Mwaka 2017, Serikali ilifanya tathmini ya viwanda 156 vilivyobinafsishwa.
  • Ilibaini kuwa 88 vilikuwa vinafanya kazi kulingana na mikataba.
  • 68 havikuwa vinafanya kazi kwa mujibu wa mikataba.
  • Serikali ilianza mchakato wa kuvirejesha baadhi ya hivyo kwa uwekezaji mpya.

vipo viwanda 156 Baadhi ya viwanda vilivyotajwa rasmi kuwa havikuwa vinafanya kazi na vikarejeshwa au kuandaliwa kwa uwekezaji ni:-
  1. Mwanza Tanneries – Mwanza.
  2. TPL Shinyanga Meat Plant – Shinyanga.
  3. Kiwanda cha Mafuta Ilulu – Lindi.
  4. Nachingwea Cashewnut Factory – Lindi.
  5. TPL Mbeya – Mbeya.
  6. Sikh Sawmill Ltd – Tanga.
  7. National Steel Corporation – Dar es Salaam.
  8. Mag'ula Mechanical Machine Tools – Morogoro.
  9. Mbeya Ceramics Co. Ltd – Mbeya.
  1. General Tyre Tanzania (Arusha) – Serikali imekuwa na mipango ya kukifufua.
  2. Tanzania Shoe Company (Morogoro). a.k.a BORA
  3. Urafiki Textile Mill (Dar es Salaam) – kimepitia vipindi tofauti vya kusimama na kufufuliwa.
  4. Kiltex (Morogoro).
  5. Friendship Textile Mill (vipindi vya kusimama na kuanza tena).
  6. IMARA FURNITURE
  7. Kibo Match Moshi
  8. Kilimanjaro MAchine Tools
Hoteli nikikutajia kwasababu umeamua kuwa maamuma na mbulula huwezi jua:-
1. Embassy Hotel Dar,
2. AGIP Hotel Dar , hizi zipo Posta ni Magofu ukimpa mwekezaji na ubia wa PPP hata kabla jua halijazama watu watajaza kuitaka hizo hotel.
3. MORETCO.
4. SUKIWA.
5. UDA-Kampuni ya Usafiishaji DAr.
 
hazipaswi kuwepo, kunapswa kuwe na maduka na wateja wataenda madukani kununua bidhaa na kulipia kodi ...
Kwa ulimwengu wa sasa wa ushindani wa mauzo, lazima kutumia mbinu zote za kuuza, hii ya kusubiri mteja dukani au ofisini ilishapitwa na wakati, lasivyo hutouza na utakosesha mapato kwa taasisi (biashara).​
 
Thank you "FREE ChatGPT"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…