Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Yes, vipo 185 vimekufa, ingieni ubia basi au unatetea tu hata upuuzi unaofanywa ?Kwa ulimwengu wa sasa, hakuna viwanda vinavyomilikiwa na serikali 100% labda nchi za kikomunisti
Yes, vipo 185 vimekufa, ingieni ubia basi au unatetea tu hata upuuzi unaofanywa ?
Kiwanda cha nyama kimegeuzwa kanisa hapo Kawe, upo hapo ?
Wewe unatembeza nini? tuanzie hapo kwanza.Nimeona matangazo mengi ya kuhitaji vijana kwa ajili ya kazi mbalimbali, mfano: kazi za masokoni, za majumbani, minadani, za kibiashara, kutembeza vyombo, nguo n.k, lakini waombaji hawaonekani.
Tatizo ni nini?
Ebu tuambieni ukweli, mnataka kazi gani?
Nina vijiwe 20 vya mahindi ya kuchoma, kila kijiwe kinanipa faida ya 10,000 kwa siku; kwa mwezi naingiza milioni 6Wewe unatembeza nini? tuanzie hapo kwanza.
Kama ni kweli umenifungua akili, inaweza kuwa biashara ya kawaida sana lakini ukapata pesa, ila unawezaje kupata vijana waaminifu wa kufanya nao kazi?Nina vijiwe 20 vya mahindi ya kuchoma, kila kijiwe kinanipa faida ya 10,000 kwa siku; kwa mwezi naingiza milioni 6
Kama ni kweli umenifungua akili, inaweza kuwa biashara ya kawaida sana lakini ukapata pesa, ila unawezaje kupata vijana waaminifu wa kufanya nao kazi?
Kuna mfanyabiashara yeyote analipwa pensheni uzeeni?Tunataka kazi za kuajiriwa ofisini zenye pensheni uzeeni
Siku nguvu zikikuisha utaishije?Ninachokumbuka cheti cha form 4 nilikichana maana niliona hakina maana na sikukosea kwa maisha nilionayo kweli hakikuwa na maana yeyote hapa ni kilimo mwanzo mwisho
Silimi mimi zinalima helaSiku nguvu zikikuisha utaishije?
Unafanya kilimo biashara?Silimi mimi zinalima hela
Kwa Waziri hawezi kubadilisha ,anayeweza kubadili mifumo ya mitaala ni Rais ...Rais akikubali ataunda jopo la wataalam wa kumshauri jinsi ya kufanya then ataishusha kwenye wizara ,wizara itaandaa bills kwenda bungeni kisha kubadili mfumo mzima.Mfano, wewe ungepewa wizara, ungeweza kubadilisha?
Kwani hatuna tafiti zozote zile zinazoelezea changamoto za mfumo wa elimu tulionao na unaoshauri kuwepo na aina fulani ya mfumo?Kwa Waziri hawezi kubadilisha ,anayeweza kubadili mifumo ya mitaala ni Rais ...Rais akikubali ataunda jopo la wataalam wa kumshauri jinsi ya kufanya then ataishusha kwenye wizara ,wizara itaandaa bills kwenda bungeni kisha kubadili mfumo mzima.
Pia Rais ataingiza/atahidhinisha fedha kwenye kufanya implementation ya mifumo mizima.
Hatujapata Rais wa kufanya implementation ,mambo ya kusoma panzi ana miguu mingapi haina tija.Kwani hatuna tafiti zozote zile zinazoelezea changamoto za mfumo wa elimu tulionao na unaoshauri kuwepo na aina fulani ya mfumo?
Wakijibu nitag
Kuna mtu namfahamu ni graduates yeye anafanya biashara ya utumbo, very smart.Nahisi itakuwa inamlipa vizuri.Biashara ndogo ndogo zinalipa sana kama utakuwa na vijiwe vingi, na itakulipa sana kuliko yule mwenye biashara kubwa inayoonekana. Changamoto ni kuwapata wafanyakazi, kwa sababu wengi hawataki kuaibika.
Suluhisho, ni kwenda huko vijijini na kuwachukua wafanyakazi.
Inaweza ikawa inamlipa kiasi au sana lakini kama utakuwa na viofisi/goli vingi, utakusanya zaidi, changamoto ni usimamizi.Kuna mtu namfahamu ni graduates yeye anafanya biashara ya utumbo, very smart.Nahisi itakuwa inamlipa vizuri.
Hizo ni kazi za hovyo zisizo na staha, sio kazi za kufanywa na binadamu karne hii.Wanaotembeza vyombo, barafu, nguo , redio, vifaa vya simu n.k sio watu?