Wanaosema Rais Magufuli hajui Kiingereza leo amewasuta

Mwambie basi apige speech moja matata akate mzizi wa fitna
 
Ilipaswa hii speech aitoe kwa kiinglish
.
 
Kama vipi mzee Adam Simbeye amwalike katika kipindi chake cha 'this day in perspective' tumwone Tony Blair wa burigi akitiririka ung'eng'e.
 
Sijui unakusudia nini unaposema walisoma kama somo tu na wakati lengo la hilo somo ni wao kuijua hiyo lugha na wapo wenye kuijua hiyo lugha kupitia njia hiyo hiyo japo kiingereza sio lugha ya kufundishia huko kwao,watu kama Magufuli wenye kuongea kiingereza kibovu wapo wengi pamoja na kiingereza kuwa ndio lugha ya kufundishia.
 
Mwambie basi apige speech moja matata akate mzizi wa fitna
Tatizo la kushindwa kuongea kiingereza vizuri ni tatizo la watu wengi Tz ila ni tofauti na kutojua kabisa kiingereza.
 
Mkuu hata wewe naamini uliisoma French kma somo whether sekondari au chuo. Unataka uniambie unaweza kuwa competent kwa kusoma tu fundamentals ya somo fulani tena kwa masaa 36 tu ya muhula mzima?
Kina Putin wanafundishwa tu basics za kiingereza sio kila kitu kwenye lugha but JPM kafundishwa masomo yote kwa kiingereza kuanzia Form 1 mpaka PhD so kma hayupo competent kwa lugha ni uzembe wake but hao kina Putin wangesoma vyuo vya English tupu from Middle school hadi PhD ndio ungefanya comparison ya kueleweka.

NB: Umewahi ona laboratory tools zipo labelled na manufacturer kwa kiswahili kitupu?
 
Tatizo la kushindwa kuongea kiingereza vizuri ni tatizo la watu wengi Tz ila ni tofauti na kutojua kabisa kiingereza.
Ni vzuri umekiri hili.... Hta JPM naye yupo kundi hilo hilo sababu hatuna tabia ya ku-practice kuongea muda wote, so imebakia madarasani tu.
 
Kabisaaa maana saiv hta mtoto wa English medium anamaliza shle na kingereza anakijua lakin matokeo yanakuja amefeli......
 
Kabisaaa maana saiv hta mtoto wa English medium anamaliza shle na kingereza anakijua lakin matokeo yanakuja amefeli
 
Ni vzuri umekiri hili.... Hta JPM naye yupo kundi hilo hilo sababu hatuna tabia ya ku-practice kuongea muda wote, so imebakia madarasani tu.
Nadhani sasa umenielewa,tatizo sisi hatu practice kuongea hiyo lugha na ndio sababu kubwa ya wengi kutomudu vizuri hiyo lugha akiwemo Magufuli,sasa si sawa watu kusema kwamba hajui kabisa hiyo lugha.
 
Ni sawa na mimi nimshangae Joe Biden kwa kutokujua kifaransa au kiswahili

Ni utoto!
Ila mnasahau mzee lugha ya Kiingereza ni ligha yake ya kufundishiwa toka akiwa sekondari. Biden hajafundishiwa kwa Kiswahili au Kifaransa.
 
Kiukweli mi nadhani Ba Jesca hataki usumbufu anachofanya ni kuepuka gharama za kuhangaisha ubongo kufikiri cha kuzungumza hasa kwa lugha ya kinyamwezi, hata ivo ana mambo mengi ya kufanya zaidi ya kuzungumza kinyamwezi!

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
..aliyemshauri Raisi kuzungumzia hayo ni nani?

..Jpm amekuwa madarakani huu ni mwaka wa 6, hivi anahitaji kujieleza na kujitetea kwamba anaimudu lugha ya Kiingereza?
Jamaa is so petty kwa kweli!
 
Hili zee bure kabisa eti jana badala ya kusema Deutsche welle linasema Dochi vella!
 
even your Swahili here is broken too.

There is a vast difference in meaning between these two swahili words "haishi" and "hataishi".

The more you criticise other people, the more you expose yourself and become more vulnerable to other's criticism.
Kwani wapi ni9mesema mimi najua kiswahili? Mimi kiswahili sikijui, nakiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…