Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wabongo wote tu mkuu. Kiingereza hakiwapendi. Ndiyo maana wakenya walijaa ktk shule za English medium, mpk hapo vikwazo dhidi yao viliooanza ndo wakapunguaKwa kiingereza chake anajitahidi, kawaida wengi wanaosoma masomo ya science viingereza vyao huwa wanavijua wenyewe.
“Nilipoingia madarakani nikaanza kutoa hotuba kwa Kiswahili, niliambiwa sijui Kiingereza wala sikujali, UDSM nimekaa miaka mitatu nikisoma masomo yangu ya Sayansi, Chemistry na Mathematics zote zinaandikwa kwa Kiingereza, lakini Mtu akasema sijui Kiingereza”-JPM kwenye Siku ya Sheria Dodoma leo.
“Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza Kisukuma kule!, wakasema sijui Kiingereza, niliamua kuzungumza Kiswahili na kuki-promote kwasababu ni lugha iliyoachwa na Baba wa Taifa”-JPM
View attachment 1691833mas

View attachment 1691833masomo.ya sayansi hayahitaji umahiri wa lugha ya kiingereza. Sayansi ni mahesabu na maformular tu. Na hata huko udsm mainjinia na wanasayansi wengi lugha inawapiga chenga, siyo siri wala aibu inaeleweka. Mwanasheria au political scientist au yeyote wa masomo ya Arts kupigwa chenga na lugha ni shida
wamemtanguliza - wanafikiri wao wataishi hapa duniani mielleBen saanane yuko wap
sasa akubali kuwa hajui.. basi, that much simple
sizitaki mbichi hizo! Can you make your sentence above (hiyo ni lugha....... in English)! Usitazamie pleaseHiyo ni lugha tu Kama lugha nyingine, hata ungeijua namna gani kama kichwani Hanna kitu, Wala hiyo lugha haikusadii lolote.
Kwahiyo ni sawa na kusema Magufuli alikuwa anaona kichina china tu wakati akiwa chuoni kwamba lugha ya kufundishia hakuwa anaielewa?Of course hapa tunazungumzia waliosoma kwa lugha ya kiingereza. Wewe unadhani tunazungumzia waliosoma kwa lugha ya kinyanzutuzu? Unawezaje kuandika thesis za kuanzia masters mpaka Phd bila kujua lugha? Arguments na mambo mengine yote utaelezea kwa kutumia vidole? Vitabu na machapisho utakayosoma utaelewaje? BTW hata najaribu kumwelezea mtu asiyejua hata lectures huwa zinatolewaje.
Ameweka hoja zake kwamba amesoma hapo UDSM miaka mitatu na lugha iliyokuwa ikitumika ni kiingereza sasa utasemaje hajui hiyo lugha?na pia ameishi London mwaka mmoja na lugha inayotumika kule kwa mawasiliano ni kiingereza sasa utasemaje hajui kiingereza?Mr much know kwani ukisema haujui Kiinglish kuna shida gan?
Jiwe haujui English Watanganyika tunajua kama haujui
“Nilipoingia madarakani nikaanza kutoa hotuba kwa Kiswahili, niliambiwa sijui Kiingereza wala sikujali, UDSM nimekaa miaka mitatu nikisoma masomo yangu ya Sayansi, Chemistry na Mathematics zote zinaandikwa kwa Kiingereza, lakini Mtu akasema sijui Kiingereza”-JPM kwenye Siku ya Sheria Dodoma leo.
“Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza Kisukuma kule!, wakasema sijui Kiingereza, niliamua kuzungumza Kiswahili na kuki-promote kwasababu ni lugha iliyoachwa na Baba wa Taifa”-JPM
View attachment 1691833
Ngoja siku aje Joe Biden hapo ndo tutajua yaliyomo yamo au hayamo..😂
Ila hao kutokusoma kwa kutumia english sio sababu ya wao kutokujua english,kwa sababu soma la english lilikuwepo wakati wanasoma na lengo la hilo somo ni kufunzwa lugha ya kiingereza sasa iweje wasijue kama walifundishwa english?Hao wote wamesoma mpaka vyuo vikuu kwa lugha za kwao ila Jiwe wanamzodoa kwasababu kasoma vyuo vinavyofundisha english alafu kashindwa kuwa fluent kwenye matamshi na mpangilio.
Ingekua na sisi tunafundisha kiswahili mpaka level ya PhD sidhani kama kuna mtu angemzodoa.
Kiswahili kimeachwa na baba wa Taifa ?“Nilipoingia madarakani nikaanza kutoa hotuba kwa Kiswahili, niliambiwa sijui Kiingereza wala sikujali, UDSM nimekaa miaka mitatu nikisoma masomo yangu ya Sayansi, Chemistry na Mathematics zote zinaandikwa kwa Kiingereza, lakini Mtu akasema sijui Kiingereza”-JPM kwenye Siku ya Sheria Dodoma leo.
“Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza Kisukuma kule!, wakasema sijui Kiingereza, niliamua kuzungumza Kiswahili na kuki-promote kwasababu ni lugha iliyoachwa na Baba wa Taifa”-JPM
View attachment 1691833
Raisi Magufuli ni sawa na maraisi Putin, Xi Jinping, Angela Markel, Emanuel Macron na wengine ambao hutumia lugha mama.
Hicho kiingereza ni lugha kama lugha zingine za kawaida sana.
Kufahamu kuzungumza kiingereza hakumaanishi wewe umesoma sana na kuelimika.
Mkuu kwani Joe Biden anakijua au na yeye anakitumia kama lugha mama na ya syllabus,tufanye na yeye aongee English + kiswahili sanifu uwone atakavyojing'ata apo meza kuuNgoja siku aje Joe Biden hapo ndo tutajua yaliyomo yamo au hayamo..[emoji23]
Naona leo ndo kapata ujasiri wa kumjibu saa8...“Nilipoingia madarakani nikaanza kutoa hotuba kwa Kiswahili, niliambiwa sijui Kiingereza wala sikujali, UDSM nimekaa miaka mitatu nikisoma masomo yangu ya Sayansi, Chemistry na Mathematics zote zinaandikwa kwa Kiingereza, lakini Mtu akasema sijui Kiingereza”-JPM kwenye Siku ya Sheria Dodoma leo.
“Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza Kisukuma kule!, wakasema sijui Kiingereza, niliamua kuzungumza Kiswahili na kuki-promote kwasababu ni lugha iliyoachwa na Baba wa Taifa”-JPM
View attachment 1691833
“Nilipoingia madarakani nikaanza kutoa hotuba kwa Kiswahili, niliambiwa sijui Kiingereza wala sikujali, UDSM nimekaa miaka mitatu nikisoma masomo yangu ya Sayansi, Chemistry na Mathematics zote zinaandikwa kwa Kiingereza, lakini Mtu akasema sijui Kiingereza”-JPM kwenye Siku ya Sheria Dodoma leo.
“Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza Kisukuma kule!, wakasema sijui Kiingereza, niliamua kuzungumza Kiswahili na kuki-promote kwasababu ni lugha iliyoachwa na Baba wa Taifa”-JPM
View attachment 1691833
Hujanielewa..... Wao ni kama tu kiswahili nchini Uganda, kinafundishwa kama somo tu ambalo ni optional sio compulsory lakini TZ kiswahili ni lugha ya kufundishia masomo yote primary school (ambapo hushape uelewa wa mwanafunzi)Ila hao kutokusoma kwa kutumia english sio sababu ya wao kutokujua english,kwa sababu soma la english lilikuwepo wakati wanasoma na lengo la hilo somo ni kufunzwa lugha ya kiingereza sasa iweje wasijue kama walifundishwa english?