Wanaosema uchawi uko Afrika tu wanahitaji kuelimishwa zaidi

Wanaosema uchawi uko Afrika tu wanahitaji kuelimishwa zaidi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Sisi bado tunacheza na kafara za kuku, zongo chumaulete dawa za fumanizi , limbwata na ramli chonganishi

Wenzetu wako viwango vya juu zaidi na wamenyooka sana na methodology zao ni simple Sana
Wakichanganya Imani, asili na codes za ulimwengu wa hesabu za kiroho! Wanakutolea formulas ambazo utazifanya mwenyewe
Ukikosea umeliwa na huna wa kumlaumu
Ukipatia umefaulu ila usijifanye mganga maarufu sasa
Ukifanya bila imani na kwa wasiwasi matokeo sio bora

Remember you have the power to change your destiny!
 
Binafsi huwa naangalia sana Muvi zinazoelezea paranormal, metaphysics na supernatural. Whites wamenyooka sana sana asee

Narecomend muvies hiz, 1. Talk to me, 2. Bag head 3. Paint 4. Anabelle 5. Insidious

Kuna vitu vimeelezwa vizur sana mule, horror muvies zinaelezea vizur hayo mambo. Na kuna idea ni universal
 
Sisi bado tunacheza na kafara za kuku, zongo chumaulete dawa za fumanizi , limbwata na ramli chonganishi

Wenzetu wako viwango vya juu zaidi na wamenyooka sana na methodology zao ni simple Sana
Wakichanganya Imani, asili na codes za ulimwengu wa hesabu za kiroho! Wanakutolea formulas ambazo utazifanya mwenyewe
Ukikosea umeliwa na huna wa kumlaumu
Ukipatia umefaulu ila usijifanye mganga maarufu sasa
Ukifanya bila imani na kwa wasiwasi matokeo sio bora

Remember you have the power to change your destiny!
Mkuu bila shaka unaona movie sana ww
 
Niliwaambia. Upo sahihi mkuu. Naona Afrika bado tupo low magick ila high magick ipo huko kwenyewe. Ndio umemaanisha hivyo.
Kwa mfano angalia hii ya uchawi wa Wicca

Uchawi wa Wicca ni mfumo wa imani ya kisasa wa kipagani (neo-pagan) unaozingatia amani, asili, na mizunguko ya msimu. Tofauti na dhana za kale za uchawi, Wicca mara nyingi huchukuliwa kama dini inayojumuisha mila na desturi za kiroho.

Haya ni baadhi ya mambo muhimu ya kuelewa kuhusu uchawi wa Wicca kwa mujibu wa AI
Uhusiano na Asili:
Wafuasi wa Wicca (wanaojulikana kama Wiccans) wanaamini katika nguvu ya asili na mara nyingi huabudu miungu wawili: Mungu wa kike (Triple Goddess) anayewakilisha mwezi, na Mungu wa kiume (Horned God) anayewakilisha jua na misitu.

Kanuni ya Maadili (Wiccan Rede):
Sheria kuu ya Wicca ni "An it harm none, do what ye will" (Mradi isidhuru yeyote, fanya utakalo). Hii inasisitiza kutumia uchawi kwa ajili ya wema na si kuwadhuru wengine.
Sheria ya Kurudi Mara Tatu:

Wiccans wanaamini kuwa nishati yoyote (nzuri au mbaya) unayotoa ulimwenguni itakurudia mara tatu zaidi. Hii inawazuia kutumia "uchawi mweusi" au laana.

Mizunguko ya Mwaka:
Huadhimisha sherehe nane zinazojulikana kama Sabbats (kama vile Samhain na Beltane) ambazo hufuata mabadiliko ya majira ya mwaka, pamoja na Esbats zinazofuata mizunguko ya mwezi.
Vifaa na Tambiko: Katika kufanya uchawi (mara nyingi huandikwa kama Magick), hutumia vifaa kama vile mishumaa, fuwele (crystals), mimea ya asili, na madhabahu ili kuelekeza nishati kwa malengo maalum kama uponyaji au ulinzi.

Ingawa wengi huuona kama njia ya amani na kiroho, taasisi nyingi za kidini (kama vile Uislamu na Ukristo) hupinga desturi hizi na kuziona kuwa kinyume na mafundisho ya vitabu vitakatifu.
 
Sisi bado tunacheza na kafara za kuku, zongo chumaulete dawa za fumanizi , limbwata na ramli chonganishi

Wenzetu wako viwango vya juu zaidi na wamenyooka sana na methodology zao ni simple Sana
Wakichanganya Imani, asili na codes za ulimwengu wa hesabu za kiroho! Wanakutolea formulas ambazo utazifanya mwenyewe
Ukikosea umeliwa na huna wa kumlaumu
Ukipatia umefaulu ila usijifanye mganga maarufu sasa
Ukifanya bila imani na kwa wasiwasi matokeo sio bora

Remember you have the power to change your destiny!
Weka hata mfano mmoja mkuu.
 
Back
Top Bottom