machafuko jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 920
- 2,071
Mkuu na mimi nataka nijue kidogo japo tu nimloge x wangu arudi Tena. Nipe hata muongozo au kitabu kipi nisome au nipractic waubani wangu arudiMovies ilikuwa zamani sana siku hizi nasoma zaidi na ku practice ambako hakuna madhara ya imani yangu
Wakuchanganya Imani, asili na codes za ulimwengu wa hesabu za kiroho.Wa nini mkuu wangu
Matapishi hayalambwi mkuu.. Zingatia neno X kiroho! Labda iwe kama wewe ndio ulizinguaMkuu na mimi nataka nijue kidogo japo tu nimloge x wangu arudi Tena. Nipe hata muongozo au kitabu kipi nisome au nipractic waubani wangu arudi
Kweli mkuu. Tuishie hapaMatapishi hayalambwi mkuu.. Zingatia neno X kiroho! Labda iwe kama wewe ndio ulizingua
Uchawi ni dhana potofu.Sisi bado tunacheza na kafara za kuku, zongo chumaulete dawa za fumanizi , limbwata na ramli chonganishi
Wenzetu wako viwango vya juu zaidi na wamenyooka sana na methodology zao ni simple Sana
Wakichanganya Imani, asili na codes za ulimwengu wa hesabu za kiroho! Wanakutolea formulas ambazo utazifanya mwenyewe
Ukikosea umeliwa na huna wa kumlaumu
Ukipatia umefaulu ila usijifanye mganga maarufu sasa
Ukifanya bila imani na kwa wasiwasi matokeo sio bora
Remember you have the power to change your destiny!
Sayansi na Teknolojia ndio nyenzo pekee ambayo inaweza kutusaidia kujibu maswali magumu tunayoulizwa na mama-asili (Mother Nature).Uchawi ni dhana potofu.
Ni vizuri watu wakajielimisha na kuacha upotoshaji.
Zamani watu walifanya matambiko wakiamini yatasaidia mvua kunyesha. Mvua zilinyesha si kwasababu tambiko lisababisha mvua kunyesha, kwani Mvua hunyesha kwa kufuata taratibu za kiasili (natural water cycle), hili lina uthibitisho wa kisayansi na mtu yeyote anaweza kuthibitisha.
Chumaulete ni dhana ya kichawi (kipotoshaji) ambayo ilikuja baada ya kugundulika kwa sarafu na noti, wakati dunia ílopokuwa kwenye nfumo wa barter trade dhana ya chumaulete haikuwepo. Hii inadhirishwa na utaratibu wa kimaisha wa jamii kama: wahadzabe, na piraha kwenye hizi jamii ambazo hawatumii pesa kabisa hakuna kitu kama chumaulete.
Wakati Academy za timu kama barcelona, man city, monaco, real madrid, nk, zinazalisha wachezaji wa mpira wa miguu kama pedri, foden, mbappe, hakimi. Huku Africa bado tunaamini kwamba uchawi unaweza kutumika kama nyenzo ya kutusaidia kwenye mashindano ya mpira wa miguu.
Yaani wakati nchi zilizoendelea zínawekeza kwenye Academy huku Africa watu wanaamini kwamba labda wazungu wanatumia uchawi mkubwa kuliko wao (Waafrika) ndio maana Timu za taifa za Afrika zinashindwa kufanikiwa kwenye .mashindano ya kombe la dunia.
Sayansi na Teknolojia ndio nyenzo pekee ambayo inaweza kutusaidia kujibu maswali magumu tunayoulizwa na mama-asili (Mother Nature).
Úchawi na Imani za kidini ni dhana potofu ambazo zinakwamisha maendelo ya ustawi katika jamii.
Uchawi wa bongo katastim kichizHuo sio uchawi bali ni maarifa ambayo yanamuwezesha mwanadamu kupiga hatua za kimaendeleo. Sisi huku tunarogana mtu asizae,asifanikiwe na pengine afe,uchawi wa kifala sana huo.