Bunch of Contradictions and Logical fallacies
Kwa kuanza tu kusema "Kama huamini injili ipuuze kabisa" Vs "Injili ina nguvu ya kuwabadilisha hata wanaoipinga"
Tunashindwa tukuelewe vipi
Unashauri wapingaji wa injili waache kuisoma lakini at the same time pia unadai injili ina nguvu ya kuwabadilisha watu kupitia usomaji huo.
Sasa nachojiuliza mimi, ikiwa kweli Injili ina uwezo wa kubadilisha watu kupitia usomaji, kwanini tena uhimize watu waache kuisoma?
Na kwanini ulalamike kuona watu wakiikosoa baada ya kuisoma ilihali umedai ina uwezo wa kubadilisha watu?
Mfano wako wa Sauli “Sauli aliwapinga sana Wakristo… lakini baadaye akabadilishwa.”
Unatumia tukio la kipekee la kihistoria (ambalo huwezi kulithibitisha) kama ushahidi wa mantiki ya jumla.
Hii haiwezi kuwa sawa: Tukio la Sauli na wenzie ni la kiimani, si ushahidi wa mantiki kwamba kila anayesoma Injili bila kuamini ataishia kuokoka.
We dada unashida mahali hata kama umesoma elimu Dunia haijakusaidia maana una IQ ndogo mno 45-
unataka ujifunze huku unadai Yesu si mwana wa Mungu,hakafu unataka urejee kitabu kingine kisicho biblia,hapo unajifunza au unapuyanga??Mwanzo nilimuona kama dada mwenye lengo la kueneza injili… ila kadri anavoendelea unamuona hamna kitu… watu wanasoma bible ili wajifunze ndiyo maana huuliza wapate ufafanuzi pale wasipoelewa,yeye anadai kwa nini wanaendelea kusoma eti? Huyu kweli danzi
Nishawahi waambia watu huyu ni taahira, hata walioleta theories mbalimbali waliosoma za nyuma wakaboresha uwazi jadili kitu usichokijua huo ni uwandawazimuMwanzo nilimuona kama dada mwenye lengo la kueneza injili… ila kadri anavoendelea unamuona hamna kitu… watu wanasoma bible ili wajifunze ndiyo maana huuliza wapate ufafanuzi pale wasipoelewa,yeye anadai kwa nini wanaendelea kusoma eti? Huyu kweli danzi
Kama maswala ya imani hayajibiwi kwa logic, unafikiri ni upi msingi ambao tutautumia kama mzani wa kupima ukweli wa hayo madai?Maswali ya imani hayajibiwi kwa logic pekee yake. Biblia inasema, hekima ya Mungu, siyo ya mwanadamu.
Ndiyo maana unaweza kushangaa, wewe ukawa mkristo mzuri tangu utoto wako mpaka uzee wako, ukabakia kuwa mkristo wa kawaida. Halafu aliyekuwa anaupinga ukristo tangu utoto wake mpaka ujana wake, mwishoni anakuwa mkristo, tena mwenye mamlaka na kufanya mengi katika ulimwengu wa Roho.
Namkylumbuka yule shekhe wa Zanzibar, aliyekuwa shekhe kwa miaka 21. Akaugua kwa miaka 7, kisha anasema alisikia sauti ikimwambia asome biblia sura ... (siikumbuki ile aya), mara akapona ugonjwa wake na kuamza kuitafuta biblia. Alipofungua biblia hilo fungu kwenye kitabu cha ufunuo, akakutana na maneno yale aliyosikia kwenye sauti aloyoisikia bila ya kumwona mwenye sauti. Baada ya pale nguvu zake zote zikawa kwenye biblia, akawa anahuburi kwenye makanisa ya KKKT, huku wengi wakibadilika kutokana na mafundisho yao, tena akiwavuta maelfu ya watu zaidi ya wachungaji na maaskofu.
Kwenye masuala ya kiimani, si ajabu, siku nyingine ukamkuta Covax akiwa mkristo mwaminifu, mfuasi mkamilifu ya Yesu, kuliko sisi wakristo wa tangu kale. Kwa Mungu kila jambo linawezekana, na kila jambo hufanyika kwa lengo maalum.
Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayesoma Biblia ili ajifunze na mtu anayesoma Biblia ili kutafuta makosa na kuipinga. Mada yangu inawahusu hao watu wa aina ya pili.Mwanzo nilimuona kama dada mwenye lengo la kueneza injili… ila kadri anavoendelea unamuona hamna kitu… watu wanasoma bible ili wajifunze ndiyo maana huuliza wapate ufafanuzi pale wasipoelewa,yeye anadai kwa nini wanaendelea kusoma eti? Huyu kweli danzi
Mimi ni bi Arusi wa Yesu.Mchumba wako Poor Brain nayeye ataokoka tu. Ni jambo la muda.
Kwenye orodha hii ya wenye IQ kubwa sijaona jina lako Munch wa annabelletz47We dada unashida mahali hata kama umesoma elimu Dunia haijakusaidia maana una IQ ndogo mno 45-
Hiii comment ndo inathibitisha ujinga wako ni wakiwango ganiKwenye orodha hii ya wenye IQ kubwa sijaona jina lako Munch wa annabelletz47
- William James Sidis – IQ 250–300
- Terence Tao – IQ 225–230
- Marilyn vos Savant – IQ 228
- Christopher Hirata – IQ 225
- Kim Ung-Yong – IQ 210
- Edith Stern – IQ 200
- Rick Rosner – IQ 192
- Garry Kasparov – IQ 190
- Judit Polgár – IQ 170
- Stephen Hawking – IQ 160
Mkuu IQ haipimwi Kwa kujulikana duniani ndo maana nasema ww unazeeka vibaya sjui ni menopause inakusumbua, nikuache tuWewe mwenye IQ kubwa inakuwaje hujulikani duniani?
Kwani wenye IQ kubwa wanajificha? Si wanajulikana tu kwa mambo yao. Wewe una lipi linalokutambulisha kuwa una IQ kubwa zaidi ya kujigamba tu.Mkuu IQ haipimwi Kwa kujulikana duniani ndo maana nasema ww unazeeka vibaya sjui ni menopause inakusumbua, nikuache tu
Mambo yao gani?Kwani wenye IQ kubwa wanajificha? Si wanajulikana tu kwa mambo yao. Wewe una lipi linalokutambulisha kuwa una IQ kubwa zaidi ya kujigamba tu.
Mtu mwenye IQ kubwa zaidi duniani anayejulikana kwa mambo yake ya kushangaza ni William James Sidis, ambaye alikadiriwa kuwa na IQ kati ya 250 hadi 300, kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa na mtu mwingine yeyote kwa rekodi zilizopo.Mambo yao gani?
Embu orodhesha hapa tuone nasisi
We kibibi unafurahisha kwakwel Sina la kukujibuMtu mwenye IQ kubwa zaidi duniani anayejulikana kwa mambo yake ya kushangaza ni William James Sidis, ambaye alikadiriwa kuwa na IQ kati ya 250 hadi 300, kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa na mtu mwingine yeyote kwa rekodi zilizopo.
Mambo makubwa yaliyomtambulisha William James Sidis kuwa ana IQ kubwa ni haya:
Alianza kuzungumza akiwa na miezi 6 tu. Akiwa na umri wa mwaka mmoja na miezi mitano alikuwa tayari anasoma magazeti. Akiwa na miaka 4, alikuwa tayari ameandika vitabu kadhaa (kimojawapo ni kuhusu anatomy). Wewe hata kujibu mada yangu kwa paragraph moja umeshindwa, halafu unajigamba una IQ kubwa. Tubu leo hiyo dhambi ya majivuno.
Mkuu nilikua nimepoa kidogo kwenye majakuzi...Mchumba wako Poor Brain nayeye ataokoka tu. Ni jambo la muda.
Kwahiyo wewe ni mke mtarajiwa wa Mungu?Mimi ni bi Arusi wa Yesu.
Hapana hapa jukwaani anawazuga tuKwahiyo wewe ni mke mtarajiwa wa Mungu?