Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama karuhusu maandamanoJK aliwahi kutuasa- akili za kuambiwa changanya na za kwako

😂😂🙌🙌SAMIAMUSTGO will be countered WAKIINGIABARABARANISISITUINGIEKWENYENYUMBAZAO
Unatoa maelezo ya kijinga- hoja yangu familia zao ziko hapa?Mbowe kakaa mahabusu kwa kesi ya kubambikiwa miezi mingi sana, Lema pia kakaa ndani pia.
Lissu kanusurika kifo na sasa ni mlemavu.
Mnataka wazilete familia zao front line ndio uamini ni Wazalendo. Wao kurisk maisha yao kwa ajili ya wengi haitoshi kwako.
Huyo Mbowe kapoteza vingi sana tangu aanze harakati za upinzani.
Inawezekana msiwaunge mkono kwa kauli kwamba wanapigia maslahi yao. Lakini tujiulize wanavyoandamana kupinga mauaji, utekaji, rushwa, ufisadi na kodi kandamizi. Je, hivyo vitu vikifanyiwa kazi atakayefaidika ni Mbowe peke yake?
SOTE TUNAZALIWA TUKIWA WAJINGA LAKINI BAADHI YETU HUFANYA KILA LINALOWEZEKANA WAHAKIKISHE WANABAKI KWENYE UJINGA.
WEWE NI MJINGA.
Mbowe amewekeza mabilioni hapa nchini tena kwenye real estate, wewe una nini cha kupoteza moto ukiwaka?JK aliwahi kutuasa- akili za kuambiwa changanya na za kwako
Wewe ni mjinga unamaanisha ukombozi wa Tanzania unategemea wanaharakati wenye makazi na familia ulaya tu, wewe ulioko hapa nyumbani na ukoo wako utakaa kulialia tu na kusubir kuonewa huruma na CCM?Unatoa maelezo ya kijinga- hoja yangu familia zao ziko hapa?
Wewe nawe unachosha sometimesJK aliwahi kutuasa- akili za kuambiwa changanya na za kwako
Tutakwenda mlikowapeleka akina Soka.JK aliwahi kutuasa- akili za kuambiwa changanya na za kwako
We unaona Jk zinamtoshaJK aliwahi kutuasa- akili za kuambiwa changanya na za kwako
What a wasted manii...!JK aliwahi kutuasa- akili za kuambiwa changanya na za kwako
Watanzania uwezo wao ni mdogo sanaBora wao Wana makazi nje. Vipi akina siye tusiokuwa na makazi huko nje hata hapa pia? Hatuna mbele wala nyuma.
Basi akina siye ndiyo inatupasa kuandamana mpk tufie barabarani.