KERO Wanaosimamia usaili Sekretarieti ya Ajira huwa hawajali muda, sijui huwa hawajipangi, inakera sana

KERO Wanaosimamia usaili Sekretarieti ya Ajira huwa hawajali muda, sijui huwa hawajipangi, inakera sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Sekretarieti ya Ajira wao huwa wapo strict sana kukusema inapitokea umeitwa katika usaili kisha ukachelewa hata kama ni dakika chache, wanakuona haupo serious kwenye kutafuta kwako, hivyo na wao wawe wanajali muda wanaoupanga kwa ajili ya interview.

Haiwezekani wapange mtihani Saa Nne asubuhi mje mfanye saa Saba mchana, sometimes Saa tisa, apart from kutafuta kazi serikalini but lazima maisha mengine yaendeleee.

Inakwaza sana vitu viko planned more than 2 months back wanashindwaje kuleta wasimamizi wa kutosheleza kila kituo na kugawanya vizuri muda kutokana na kada husika?

Hali hiyo ya watu wa Ajira imekuwa kero mara nyingi tu sehemu togauti, mfano ni hii iliyofnyika Aprili 18, 2026 katika majengo ya Chuo cha UDSM - UDSM UCC LAB 1, positioni ya Conservation Ranger III -Procurement Officer.
 
Mwaka jana wenzako tuliingia kufanya written ya TRA mida ya saa moja jioni pale Yombo UDSM wakati tilifika tangu saa nane mchana.
 
Back
Top Bottom