Wanaotafuta Ndoa Tu – Uzi Rasmi wa Kuunganisha Wachumba

Seroo ni demu wetu wote humu ndani
 
Muunganishaji mwenyewe Dalali mkuu! Si utawaunganisha na vibwengo wakuu?
 
Yani hii kitu hata usiiamini shem watu watakulana sana hapa😂

Yaani sitaki kuamini yule rafkiangu mwenye siri bado unaye kichwani🤭
 
We chizi nini kwanza Quran haijata idadi ya wanawake utakaozeshwa kingine mke wako unaenda nae peponi atakua mke wako vile vile hivyo mkeo wa duniani na peponi ni mkeo, sema unaongezewa hao mahururain Sasa Bikra
 
Yani hii kitu hata usiiamini shem watu watakulana sana hapa😂

Yaani sitaki kumini yule rafkiangu mwenye siri bado unaye kichwani🤭

Ndio. Na Msalimie sana. Mwambie secret admirer amemsalimia.

Uwe na usiku mwema Shem.

Alaf Uache unaa. Fikisha hizo salam 😁😁😁😁
Mara ya 789 leo natuma salam na muhusika hana hata taarifa. Ooops. Hebu kuwa mwana aisee.
 
Zimefika shem usijali kabisa hii ya mara 800 inafika 😅 mlale salama acha mi niendelee kusubiri connection..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…