Hapana simjui vizur mkuu mm naamin zaid katika Mungu, ila huyo marasta nilisikia stori zake kutoka kwenye simulizi ya jamaa mmoja ambae alipata mali kwa njia za kishirikina badae akakosea masharti mali zikaanza kuteketea na last target ilikua ni yeye auliwe na hao majini waliompa mali akakosea masharti yao, anasema waganga wote walimkataa na wakashindwa kumsaidia ila mganga wa mwsho ndo akamuelekeza jamaa aelekee kigoma akamtafute huyo marasta ndo huko aliienda kusaidiwaMkuu kama unajua vyema em tule A,BC zake hapa jukwaani.
Akili inahama mzee unaona famili lahi come what may you gotta make it😅Mi nimeona kuna mabadiliko ya ghafula sana unapofikisha miaka 30!unakua upo tayari kwa lolote lile ili uwe tajiri tu!!
Kwa mshahar wa laki 7 utajenga lini na kuendesha V8?Utajiri wa masharti ni bora kufa masikini tu uishi kwa amani, siyo kumhofia jogoo kala nusu punje dah.
Ila bado siamini kama ni kweli kuna hayo mambo ya utajiri na jogoo, how? Utajiri unaletwa kwa kupiga kazi tuu.
Mteja boya wa mganga ilikuwa sample yeye atakuwa tajiri kwa muda mrefu kulingana na jogoo wake akila idadi ya punje za kutosha, undezi wake tu ila kshatusua huyo.Hapana, hapo kuna jogoo wawili (kutokana na mazungumzo ya wale watu) huyu wa mganga alikuwa punje 3 but yule wa mteja alikuwa akiendelea kula.
Hapo ndipo sikupaelewa why jogoo wawili?.
Yupo mmoja hatari na nusu. Ukubali kuja mwanza hataki kutibia kwenye simu.Mi jogoo alikula punje zaid ya 20 mganga akaniambia turudie Kuna kitu kasahau nikaachana na utajiri wa mahindi sahiv natafuta utajiri wa kupunguza ndugu kama Kuna mganga mzuri naomben msaada
Wahuni wanategua iCloud ya iPhone [emoji16][emoji16][emoji16]Mpemba kumbe kuna watu wanaweza wakategua kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]ama kweli bado sijaona mengi
Jogoo gani anakula nusu punje mbona unaandika ujinga ujinga weweUtajiri wa masharti ni bora kufa masikini tu uishi kwa amani, siyo kumhofia jogoo kala nusu punje dah.
Ila bado siamini kama ni kweli kuna hayo mambo ya utajiri na jogoo, how? Utajiri unaletwa kwa kupiga kazi tuu.
Tembea uone .Utajiri wa masharti ni bora kufa masikini tu uishi kwa amani, siyo kumhofia jogoo kala nusu punje dah.
Ila bado siamini kama ni kweli kuna hayo mambo ya utajiri na jogoo, how? Utajiri unaletwa kwa kupiga kazi tuu.
Mtake radhi Dada.Nigeria na ghana au sio...wewe umeangalia movie za wanaijeria ndio unaleta hapa
Sasa ujinga gani tena mkuu hujaona hapo jogoo kala punje 3 tu, atashindwa kula nusu punje? . Pua yako.Jogoo gani anakula nusu punje mbona unaandika ujinga ujinga wewe
Ndiyo nijitoe kuku adonoe punje 1 aaah hapana, ntapambana kihalali tu V8 ntaendesha hata uzeeni 😂😂Kwa mshahar wa laki 7 utajenga lini na kuendesha V8?
Uzeeni unajuaje utafika😅??? Maisha ni sasa bwana!Ndiyo nijitoe kuku adonoe punje 1 aaah hapana, ntapambana kihalali tu V8 ntaendesha hata uzeeni 😂😂
Hata kesho sijui kama ntafika ujue, unaweza pata utajiri leo jogoo akadonoa punje 19 ila kumbe kesho haupo🤷♂️Uzeeni unajuaje utafika😅??? Maisha ni sasa bwana!
Hahahahahha sio rahisiHata kesho sijui kama ntafika ujue, unaweza pata utajiri leo jogoo akadonoa punje 19 ila kumbe kesho haupo🤷♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mshahar wa laki 7 utajenga lini na kuendesha V8?