Isengelo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2017
- 539
- 925
Alisha kuwa KM wa TANUKama usingekuwa Umri kusonga, William Lukuvi anafaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisha kuwa KM wa TANUKama usingekuwa Umri kusonga, William Lukuvi anafaa!
Na huo utii utamfanya afike mbali sanaHiyo para ya mwisho ya barua ya Chongolo nafikiri alikuwa anamlenga Makonda ambaye ameapa kwa mizimu yote kuwa yeye atakuwa mtiifu kwa Magufuli hata angewekewa bunduki kichwani.
Imeoza SanaWatabadilishwa Sana. CCM haina jipya.
Hajanikosea bali nimemnukuu maneno aliyosema pale kwenye kaburi la yule mwovu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu nyami alikukosea nini
Atapewa mgalatiaNape hiyo kazi inamfaa sana.
Kutii mfu ndiyo kumfikishe mbali,labda mbali kuzimu aliko huyo role model wakeNa huo utii utamfanya afike mbali sana
Mwisho umemaliza vibaya japo lolote linaweza tokea, shetani tena?CCM wana macho sana sana wanajua kuona Nani anafaa kwa wakati gani katika hao wote tajwa naona wananafasi labda watatu tu.
1. Simbachawene sababu Ana utulivu huwa hakurupuki.
2. Namuona Naibu waziri Uchukuzi David Kihenzile Ana uwezo mkubwa ndani ya Mda mfupi Bunge kaendeshe vyema kapewa Wizara Kama msaidizi kazunguka Nchi nzima kukagua viwanja vya ndege bandari na taasisi tanzu.
3. Namuona Paul Makonda moja sababu Ana pendwa sana na mama pili ni Mtiifu kwa mamlaka
Huyo hawawezi kumpai! Ni kama ana elements za kusema ukweli.So sidhani kama watampa!Mtaka Anton
KM ni cheo cha busara na hekima sio ujana, ujana si mmepewa mwenezi mzee wa amsha amshaAisee Kwa siasa za Sasa lazima tuangalie kundi kubwa la vijana ambalo ndio asilimia kubwa la watu na katibu mkuu awe mtu ambaye atashika makundi yote naibu waziri kijana aliyetajwa anaweza kutufaa kabisa.

😂😂😂😂 Kama Biden dadeki!Old dog, old tricks.
Makongoro ndio nani bwashee?😄Vipi ile video ya makongoro nyerere, inayo zungumzia mzee wasira unayo 😄😄