Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
At least anaweza mzaba Kofi dogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tyson hatakagi ujinga 😂At least anaweza mzaba Kofi dogo
Utajua HujuiHawa ndiyo wazee kwenye mkutano anauliza hivi tuko wapi hapaa.
Tyson [emoji3]At least anaweza mzaba Kofi dogo
Kwamba Wassira akiwa Katibu Mkuu wa CCM atastaafu baada ya uchaguzi mkuu 2025 inakusudiwa kutoa faraja gani na kwa nani?Hizo Ndio nyepesi nyepesi kutoka kwa wakongwe wa Chama wasio na makundi
Inadaiwa Wassira atakuwa Katibu mkuu wa mpito na atastaafu baada ya Uchaguzi mkuu wa 2025
Ngoja tuone [emoji2]
Hafai hata kidogo bora wangempa mzee ButikuHizo Ndio nyepesi nyepesi kutoka kwa wakongwe wa Chama wasio na makundi
Inadaiwa Wassira atakuwa Katibu mkuu wa mpito na atastaafu baada ya Uchaguzi mkuu wa 2025
Ngoja tuone 😃
Chadema Msiogope 😂Hafai hata kidogo bora wangempa mzee Butiku
Tena na kono hilo 😄Tyson [emoji3]
Nimeipenda hiyo lazima dogo atulie hapoTyson hatakagi ujinga 😂
😄😄, Typing error mkuu.Makongoro ndio nani bwashee?😄
Wassira ? Hebu acheni masihara, toka enzi ya Nyerere yumo!Wamo Mabalozi, Wastaafu, Mawaziri,Wakuu wa Mikoa na Vijana Chipukizi.
Kufuatia Katibu Mkuu Daniel Chongolo kuachia ngazi, wimbi la kupata Mrithi limezidi ongezeka Mtaani huko Dar es Salaam.
Makada wanaotajwa kwa ukaribu kurithi mikoba hiyo ni pamoja na aliyewahi kuwa wa Tanzania Nchini Misri
Balozi Emmanuel Nchimb, Mwenyekiti wa zamani wa Jumuiya ya Wazazi Alhaji Abdalah Bulembo, Mbunge wa Isimani William Lukuvi na Mwenezi Taifa Paul Makonda aidha Mawaziri wanaotajwa kwa kuvaa Mikoba hiyo ni Waziri wa Habari Nape Nnauye, Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile na Waziri wa Utumishi na Utawala Bora George Simbachawene. Pia wamo wakuu wa Mikoa wa Geita Juma Homela-Mbeya, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Amos Makala na Mkuu wa Mkoa wa Mara Said Mtanda.
Taarifa zinaonyesha kwamba Katibu Mkuu mpya anatarajiwa awe ni mbombezi kwenye Mipango na Mwenye haiba lakini mwenye umri wa ujana ili kuleta mvuto wa kundi kubwa la vijana wa Nchi hii ambao wanatajwa kufikia 75% ya watanzania.
Kadhalika Mtendaji mpya pia inatarajiwa awe Mtiifu asiye na mashaka kwa Mwenyekiti wa CCM Dkt Samia Suluhu Hasaan ambaye kama ilivyo desturi ya CCM anatazamiwa kuwa Mgombea pekee kwenye uchaguzi ujao wa 2025 ndani ya CCM.
Kwenye barua ya Kujiuzulu Katibu Mkuu Chongolo amehitimisha kwa kutoa tahadhari ya kumsihi Rais Samia awe makini dhidi ya watu wenye hila dhidi yake Rais, Chama na Taifa na akahitimisha kuendelea kuwa mtiifu kwa Chama siku zote, kauli hii imeibua minong'ono na imezidi toa mwanga pengine ndani ya Chama hicho wako Makada ambao wangekuwa hawana nia njema na Rais na Chama chao kwa mwaka 2025.
Yes,huyu mtu ni MTU ase! Ni vile tu ongea yake kama masihara hiviMtaka Anton
Ningekuwa napendekeza majina ningewachukua Lukuvi, Simbachawene na Juma Homela. Mmoja kati ya hawa angefaa kuwa Katibu mkuu!Wamo Mabalozi, Wastaafu, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Vijana Chipukizi.
Kufuatia Katibu Mkuu Daniel Chongolo kuachia ngazi, wimbi la kupata Mrithi limezidi kuongezeka Mtaani huko Dar es Salaam.
Makada wanaotajwa kwa ukaribu kurithi mikoba hiyo ni pamoja na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Misri, Balozi Emmanuel Nchimbi; Mwenyekiti wa zamani wa Jumuiya ya Wazazi, Alhaji Abdalah Bulembo; Mbunge wa Isimani, William Lukuvi na Mwenezi Taifa, Paul Makonda
Aidha, Mawaziri wanaotajwa kwa kuvaa Mikoba hiyo ni Waziri wa Habari, Nape Nnauye; Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile na Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, George Simbachawene.
Pia, yumo Mkuu wa Mkoa wa Geita, Juma Homela-Mbeya; Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Amos Makala na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Said Mtanda.
Taarifa zinaonesha kwamba Katibu Mkuu mpya anatarajiwa awe ni mbombezi kwenye Mipango na Mwenye haiba lakini mwenye umri wa Ujana ili kuleta mvuto wa kundi kubwa la Vijana wa Nchi hii ambao wanatajwa kufikia 75% ya Watanzania.
Kadhalika Katibu huyo anatarajiwa awe Mtiifu asiye na mashaka kwa Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hasaan ambaye kama ilivyo desturi ya CCM anatazamiwa kuwa Mgombea pekee kwenye uchaguzi ujao wa 2025 ndani ya CCM.
Kwenye barua ya Kujiuzulu Katibu Mkuu, Chongolo amehitimisha kwa kutoa tahadhari ya kumsihi Rais Samia awe makini dhidi ya watu wenye hila dhidi yake Rais, Chama na Taifa na akahitimisha kuendelea kuwa mtiifu kwa Chama siku zote. Kauli hii imeibua minong'ono na imezidi kutoa mwanga pengine ndani ya Chama hicho wako Makada ambao wangekuwa hawana nia njema na Rais na Chama chao kwa mwaka 2025.
Soma Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu