Wanaotajwa kumrithi Chongolo Ukatibu Mkuu CCM

Mwisho umemaliza vibaya japo lolote linaweza tokea, shetani tena?
 
Aisee Kwa siasa za Sasa lazima tuangalie kundi kubwa la vijana ambalo ndio asilimia kubwa la watu na katibu mkuu awe mtu ambaye atashika makundi yote naibu waziri kijana aliyetajwa anaweza kutufaa kabisa.
KM ni cheo cha busara na hekima sio ujana, ujana si mmepewa mwenezi mzee wa amsha amsha

KM ni utajiri na kicha cha hekima lazima awe mtu wa makamu
 

Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa ndugu Rabia Abdallah Hamid amekabidhiwa Ofisi Rasmi na aliyekuwa Mkuu wa Idara Hiyo Ndugu Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki, Makabidhiano hayo yamefanyika Mapema Leo Tarehe 25 Oktoba 2023 katika Ofisi za CCM Makao Makuu jijini Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…