Wanaotajwa kumrithi Chongolo Ukatibu Mkuu CCM

Mheshimiwa Dotto James Ni mtu mnyenyekevu na mwenye uzoefu katika uongozi. Hakika tunajivunia uadilifu wake.
 
William vangimembe lukuvi anafaaq sana ukatibu mkuu wa CCM,
Kwanza katulia,pili umri umesogea kidogo,sg anatakiwa asiwe mapepe kama Fulani,naona lukuvi anafaaq sana
Kama mwenyekiti wa CCM taifa ataiona hii comment,itakua vizuri zaidi akikubaliana na wazo lqngu.
Halafu lukuvi anakijua chama kaanzia zamani tofauti na wengine wengi wa Sasa hivi Sasa hivi.
 
DJ alikuwa mshirika wa shetani ktk uporaji wa hazina yetu!
 
Polepole could be the best kwa modern politics ambazo mama anazitaka. Hana makundi au hila. Vinginevyo tumpate kada mwanajeshi aingie hapo
 
Hiki cheo kwa sasa kimekuwa kama "CR" wa vyuo vyetu.

Kwa tuliokuwepo enzi za Pius Msekwa, Lawrence M. Gama na Horace Kolimba, hawa uliowata ni sawa na Makamba na Chongolo.

CCM kama matawi yake kama UWT, UVCCM na Wazazi, inaweza kuwa chini ya Chatanda na Mwegelo, Kawaida na Maganya,basi hata Steve Nyerere anaweza kuteuliwa ila kamwe hataweza kuifanya CCM iwe kama ya hao wa miaka hiyo.
 
Yaani chama kinachofikiri kumpa zero brain kama Bulembo au Makonda ukatibu mkuu basi ni chama mfu maana hata ACT wakipewa bure hao hawawezi kuwapa hiyo nafasi.
Unless chama hicho kiwe kina fanya shughuli kama za Misso Misondo!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kampeni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zimeshaanza hivyo safu ya Uongozi hapo sekretarieti ya Chama ikamilishwe kama nilivyoshauri kisha Kazi Iendelee

Ahsanteni sana 😄
 
WAMPE SABAYA DC wa HAI amefanya kazi kubwa ya Kumpa Mbowe kesi ya Ugaidi akiagizwa na Jiwe

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Dr Wilbroad Slaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…