Wanaotaka dawa za kienyeji (asili ) zitolewe kwenye hospitali za Serikali ni vema wakaruhusu pia kupiga Chale na ramli


[emoji3][emoji3][emoji3]point taken lakini ni muda sasa muafaka wa kutambua rasmi vilinge vyetu kama vituo official vya tiba mbadala
 
Jamaa una utumwa mkubwa wa fikra. Pengine wewe ndie unaishi stone age. Tiba asili ni industry kubwa na nchi kubwa zimewekeza sana kwa utafiti juu ya dawa hizo. Mf dawa mseto tunazotumia ni wachina wameidevelop purely kutoka kwenye mti shamba.

ajabu usikute unapaka vumbi la kongo au unatafuna mkuyatu na kunywa alkasus halafu unadharau tiba asili.
 
 
Wastani wa umri wa kuishi wa Mtanzania ni Miaka 65, Japan ni miaka 85,Uingereza 81,Israel 82. Kwa nini unafikiri kuna utofauti huo?
Chama kilicho madarakani hakina dira.
Kama jana kwenye kuaga mwili wa Atashasta, asilimia 99 hawakuvaa barakoa
 
Nchi ya ndumba.
 
Nimewahi kutibiwa Nanjing (China) kwa dawa hizo, sio ajabu kwa kweli.
Tatizo ndugu zetu wanaamin sana Panadol iliyotokana na mwarobaini au aroe vera lakin ukimpa mwarobaini au aroe vera anakataa kutumia
Panadol inatokana na bangi ambayo inapigwa marufuku. Tuanze na kuruhusu bangi kama movement ya kutumia dawa za asili.
 
Sasa unasema unaitamani alafu hausimulii maanake ndio nini? Ili kuweka uzito hoja yako toa references kama hizo
 
Umezingua sana kusema msingi wake ni uchawi na ushirikina, Umekaririshwa sana na mabeberu wa upande wa pili!
 
1. Dawa mseto ya malaria ( vidonge hadi sindano) ni mitishamba ya kichina na bara la asia.

2. Quinine vidonge na sindano ( ni mitishamba)
3. Dawa ya kikohozi ZECUF ni mitishamba ya wahindi.

4. Antibiotics jamii ya Penicillin zinatokana na mmea jamani ya fungus aitwae Penicillium
Mifano ya hizo antibiotics ni
(penicillin V
penicillin G (Pfizerpen, Permapen)
amoxicillin (Amoxil)
amoxicillin/clavulonate (Augmentin)
ampicillin (Unasyn)
nafcillin (Nallpen)
oxacillin (Bactocill)
dicloxacillin (Dycill, Dynapen are discontinued brands in the US; generic is available)
cloxacillin (discontinued in the US)
piperacillin (Pipracil)
piperacillin/tazobactam (Zosyn)
ticarcillin (Ticar) (Discontinued in the US; ; generic is not available))
ticarcillin/clavulonate (Timentin) (Discontinued in the US and a generic is not available.)

TUJITAMBUE
 
Sio hvy tu Brazil ukipimwa na ugonjwa kujulikana utatajiwa miti shamba ya tatizo lako, kuna wataalam wapo msitu wa amazon kutafuta dawa huko
Kaka tembea uone kwa mfano China kuna hospitali zenye vitengo vya dawa za asili na zinatumika sana ,kwa hiyo sio kitu kipya kama hujui kitu uliza kwanza
 
Nazo wanajifukiza ? halafu sijasema dawa zinatokana na kokoto , namna mnavyofanya nyinyi ndio walivyofanya hao waliotengeneza dawa mseto ?
 
Mmea jamii ya Fugus ambao antibiotics hizo nilizozitaja zinatokana nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…