Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Maadam tumeamua kwa kauli moja kuirejesha nchi yetu kwenye zama za mawe na ujima ( God must be crazy ) , basi ni vema tukaruhusu na msingi mkubwa wa miti shamba hiyo ambao ni uchawi na ushirikina , ramli na kupigana Chale .
Hii itasaidia wachawi wengi wa Sumbawanga na kwingineko nchi nzima kujitokeza kizalendo ili kusaidiana na viongozi wa nchi yetu katika kutokomeza corona .
Mungu ibariki Tanzania
Nakala : Mshana Jr
[emoji3][emoji3][emoji3]point taken lakini ni muda sasa muafaka wa kutambua rasmi vilinge vyetu kama vituo official vya tiba mbadala