Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,532
- 2,415
A4 leo daah🥲
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliotea maswali mkuu mbona una furaha hivo😂
Polee mi mwenyewe leo nimekiona cha moto ahsante B5🙌A4 leo daah🥲
Polee mi mwenyewe leo nimekiona cha moto ahsante B5[emoji119]
Nitakuajiri kwenye kampuni yangu ukimaliza masomo Financial services.Habari wakuu!
Kwa wanotaka kuanza kusoma na waliosoma CPA karibuni mtushauri lolote, kwanza kabisa nahitaji kufahamu,
1) Intake ni mara ngapi kwa mwaka, yaani unaweza anza mwezi gani? Now tunaingia mwezi June je intake nyingine inaanza lini?
2) Vigezo vya kuanza ni vipi? Najua kuna levels mfano foundation, intermediate na final, je kwanini wengine waanzie foundation level na wengine Intermediate?
3)Je kuna favor yoyote kwa mtu aliyesoma masomo yenye uhasibu kidogo mfano Finance, Banking nk?, je atafanya mitihani mingapi ya foundation?
4) Gharama zake zipoje hasa ?
5) Center ipi ni nzuri kwa Review Classes kwa Dar es salaam na hata kwa walioko mikoani nk?
Karibu mshare na sisi lolote kuhusu CPA wakuu ,tutaappreciate👏
Na Mungu atakutimizia hitaji lako badala ya kukaa kichwani utaiweka into practical😂😂. Wacha na mimi nipambane faster niipate hiyo CPA huenda mambo yakakunyookea mapema😂Nitakuajiri kwenye kampuni yangu ukimaliza masomo Financial services.
Though bado ipo kichwani 😂😂
Beauty with brain ❤️❤️
Watu wenye bachelor za afya, hii CPA inaweza kuwanufaisha vipi ?Habari wakuu!
Kwa wanotaka kuanza kusoma na waliosoma CPA karibuni mtushauri lolote, kwanza kabisa nahitaji kufahamu,
1) Intake ni mara ngapi kwa mwaka, yaani unaweza anza mwezi gani? Now tunaingia mwezi June je intake nyingine inaanza lini?
2) Vigezo vya kuanza ni vipi? Najua kuna levels mfano foundation, intermediate na final, je kwanini wengine waanzie foundation level na wengine Intermediate?
3)Je kuna favor yoyote kwa mtu aliyesoma masomo yenye uhasibu kidogo mfano Finance, Banking nk?, je atafanya mitihani mingapi ya foundation?
4) Gharama zake zipoje hasa ?
5) Center ipi ni nzuri kwa Review Classes kwa Dar es salaam na hata kwa walioko mikoani nk?
Karibu mshare na sisi lolote kuhusu CPA wakuu ,tutaappreciate👏
Watu wenye bachelor za afya, hii CPA inaweza kuwanufaisha vipi ?
Atasota zaidi maana ataanzia mbali kwa kufanya mitihani mingi zaidi kwa sababu hana background ya accounts/finance. Na kimsingi haina faida kwake.Watu wenye bachelor za afya, hii CPA inaweza kuwanufaisha vipi ?
La saba asome CPA? Acha utani Mkuu.
Nimeona humu kuwa watu hata wa kada tofauti na mambo ya biashara na uhasibu wanaweza kusoma vizuri tuu hiyo CPA.Hizo ni sector mbili tofauti sijaelewa swali yaani mtu wa afya anataka awe cpa au
Achana nayo mkuu,komaa na afya yako.Nimeona humu kuwa watu hata wa kada tofauti na mambo ya biashara na uhasibu wanaweza kusoma vizuri tuu hiyo CPA.
ndio ninauliza kwa wstu wa kozi afya au engineers wakiwa na hiyo CPA inaweza kuwanufaisha vipi ?, au kuwaunganisha na fursa zipi ?
Ahsante.
Nimeona humu kuwa watu hata wa kada tofauti na mambo ya biashara na uhasibu wanaweza kusoma vizuri tuu hiyo CPA.
ndio ninauliza kwa wstu wa kozi afya au engineers wakiwa na hiyo CPA inaweza kuwanufaisha vipi ?, au kuwaunganisha na fursa zipi ?