Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

Nitakuajiri kwenye kampuni yangu ukimaliza masomo Financial services.

Though bado ipo kichwani 😂😂

Beauty with brain ❤️❤️
 
Nitakuajiri kwenye kampuni yangu ukimaliza masomo Financial services.

Though bado ipo kichwani 😂😂

Beauty with brain ❤️❤️
Na Mungu atakutimizia hitaji lako badala ya kukaa kichwani utaiweka into practical😂😂. Wacha na mimi nipambane faster niipate hiyo CPA huenda mambo yakakunyookea mapema😂

Thank you
 
Watu wenye bachelor za afya, hii CPA inaweza kuwanufaisha vipi ?
 
Watu wenye bachelor za afya, hii CPA inaweza kuwanufaisha vipi ?
Atasota zaidi maana ataanzia mbali kwa kufanya mitihani mingi zaidi kwa sababu hana background ya accounts/finance. Na kimsingi haina faida kwake.

Ni bora kufanya MBA kama ana interest na mambo ya biashara/fedha.
 
Hizo ni sector mbili tofauti sijaelewa swali yaani mtu wa afya anataka awe cpa au
Nimeona humu kuwa watu hata wa kada tofauti na mambo ya biashara na uhasibu wanaweza kusoma vizuri tuu hiyo CPA.

ndio ninauliza kwa wstu wa kozi afya au engineers wakiwa na hiyo CPA inaweza kuwanufaisha vipi ?, au kuwaunganisha na fursa zipi ?
 
Achana nayo mkuu,komaa na afya yako.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Nimeona humu kuwa watu hata wa kada tofauti na mambo ya biashara na uhasibu wanaweza kusoma vizuri tuu hiyo CPA.

ndio ninauliza kwa wstu wa kozi afya au engineers wakiwa na hiyo CPA inaweza kuwanufaisha vipi ?, au kuwaunganisha na fursa zipi ?

Inasaidia labda ukianzisha ofisi yako binafsi mambo ya finance utakuwa unashughulika maana muhasibu mwenyewe, ila naona utapoteza mda na huwez kuwa vizuri katika maeneo yote

Multipurpose huwa inapunguza ufanisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…