Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

Wahasibu mnateseka sana sisi mainjinia ukisha pata kazi unahesabu miaka mitatu then unaandika report na kui submit board waipitie... baada ya hapo unakua Professional Engineer.

Ila siwezi shangaa maana na sisi tulisota sana tukiwa Alevo na chuo... acha tupokezane kusoma namba!
 
Inaitwa kutesa kwa zamu mkuu😂 nyie ndiyo courses zenu ni 4 yrs huku sisi ni 3yrs🤔
 
Pale Mzumbe robo tatu ya darasa tuliokua tunafanya BAF miaka kadhaa nyuma tulikua ni PCMs na PCB

Assumption yako imekaa kimchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…