mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Mkuu naomba msaada kidogo wa namna ya kusajili course za intermediate, maana kila nikiingia kwenye account nakuta course zilezile za foundation ambazo nilishamaliza. Sioni option ya kuchagua course hizo mpya.Mungu ni mwema, Niko Final level Sasa hivi
Hi mkuu, vipi ulifanikiwa kuregister to intermediate courses?Mkuu naomba msaada kidogo wa namna ya kusajili course za intermediate, maana kila nikiingia kwenye account nakuta course zilezile za foundation ambazo nilishamaliza. Sioni option ya kuchagua course hizo mpya.
Wazee wA deadline tutalipa kuanzia jumatatu inshallah [emoji56]Hello guys, just a reminder kama bado hujalipia mitihani for MAY sit, mwisho wa kulipia bila penalty ni Tar 15 mwezi huu, after hii tarehe kutakua na penalty ya 50% na ukichelewa zaidi itakua 100%, make sure you pay within time.
Ooh hongera zake sana, kweli kutangulia si kufika mwambie mwanzisha uzi bado anapambana hajamaliza tu[emoji3].Huu uzi tangu umewekwa. Kuna dogo ndugu yangu alihitimu udsm accounts mwaka 2021 nilimwonesha huu uzi ausome mwaka juz.
Akaanza kusoma CPA ameshamaliza mitihani yake yote ya stage zote na kufaulu.
Na kazi ameshaanza PWC.
Thanks kwa muanzisha uzi ninaamini na wewe umeshamaliza pia
Amen 🙏Mungu atusaidie, atukumbushe yote tuliyosoma. Atufunulie tusiyoyafahamu. Atupe afya njema wakati wote wa mitihani.
THE GRAND FINALE[emoji3578]
Congratulations Mr. How was it?, mimi nimemaliza pepa Jana. Tunavaa Joho November? Mimi bado nna safari😒GOD IS GREAT!
DEAL DONE
Naona Paper ilikua fair. Za final ulifanya zipi na zipi?Congratulations Mr. How was it?, mimi nimemaliza pepa Jana. Tunavaa Joho November? Mimi bado nna safari[emoji19]
ENaomba kujua,mwenye CPA anaanza na mshahara wa sh ngapi!? TGS E au F
Bunju unafanya Nini mrembo? Nitakuwa RiverwoodKwa wote mtakaofanya mitihani next week, i wish you all the best, tuutumie huu muda uliobaki kujiandaa vizuri. Tukutane Bunju[emoji120]
Morning mkuu, Bunju APC ni sehemu ambayo Watu wanafanyia mitihani ya CPA , mbali na venues za mitihani sipajui sehemu nyingine yoyote😀🏃♀️ . Weekend yako utakua huko?Bunju unafanya Nini mrembo? Nitakuwa Riverwood
Nitakuwa hapo Riverwood mkuu.Hv ulikuwa hukai Mbagala mkuu! Au nimechanganya madesaMorning mkuu, Bunju APC ni sehemu ambayo Watu wanafanyia mitihani ya CPA , mbali na venues za mitihani sipajui sehemu nyingine yoyote[emoji3][emoji2088] . Weekend yako utakua huko?