Defensive midfielder
Member
- Oct 13, 2020
- 6
- 1
Wanasema usikate tamaa Kamwe katika kuyatafuta mafanikio....Ahsante mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema usikate tamaa Kamwe katika kuyatafuta mafanikio....Ahsante mkuu
Thank you mkuuWanasema usikate tamaa Kamwe katika kuyatafuta mafanikio....
Hongera Madam..utatoboa tuHongereni kwa mliotoboa kwenye matokeo , safari hii haikua nzuri upande wangu[emoji25][emoji25] ila haina kukata tamaa tukutane May 2023 kurudia. Inauma unafungua matokeo unakutana na red fail[emoji849]
Thank you kwa niaba, hivi umetoboa uko final now?Happy New Year ma-CPA (T), Mungu awafanikishe katika mihangaiko yenu
Ushauri mzuriKama unategemea kufanya mitihani mwezi May, muda ndiyo huu wa maandalizi, review Classes zimeshaanza tangu tar 2 so fanya maamuzi sasa, earlier is the better wakuu[emoji123]
Mungu ni mwema, Niko Final level Sasa hiviThank you kwa niaba, hivi umetoboa uko final now?
Aisee hongera sana mkuu, tutakutana hukoMungu ni mwema, Niko Final level Sasa hivi
Watu mna akili hongereniMungu ni mwema, Niko Final level Sasa hivi
Ni Mungu. Bila Mungu nisingefanya chochoteWatu mna akili hongereni
Pole sana,Hongereni kwa mliotoboa kwenye matokeo , safari hii haikua nzuri upande wangu[emoji25][emoji25] ila haina kukata tamaa tukutane May 2023 kurudia. Inauma unafungua matokeo unakutana na red fail[emoji849]
Ahsante mkuuPole sana,
1.gharama za kusoma foundation kwa masomo mawili niandae kama sh ngap?Ahsante mkuu
FOUNDATION STAGE FEES1.gharama za kusoma foundation kwa masomo mawili niandae kama sh ngap?
2.na kusoma code B gharama sh ngap???
Center fee +
exam fee
Mimi nimewaangusha Wakuu nimeachia huko intermediate [emoji1787][emoji1787] kwasasa nimejikita kwenye UJASIRIAMALI zaidi
[emoji28] vipi unajutia uamuzi wako? au uko na furaha.. Maana kikubwa amani
Kabisa piece of mind ni kubwa na namshukuru Mungu nimejikita huku na mambo yanaenda kwa kweli