Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

1.gharama za kusoma foundation kwa masomo mawili niandae kama sh ngap?
2.na kusoma code B gharama sh ngap???
Center fee +
exam fee
FOUNDATION STAGE FEES
1. Registration Fees: 265,000
2. Exam fees : 110,000 per subject
3. Tution fee: 185,000 (two subjects at DCRC)
 
Mimi nimewaangusha Wakuu nimeachia huko intermediate [emoji1787][emoji1787] kwasasa nimejikita kwenye UJASIRIAMALI zaidi
 
Mimi nimewaangusha Wakuu nimeachia huko intermediate [emoji1787][emoji1787] kwasasa nimejikita kwenye UJASIRIAMALI zaidi

[emoji28] vipi unajutia uamuzi wako? au uko na furaha.. Maana kikubwa amani
 
Back
Top Bottom