Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

Mungu ni mwema, Niko Final level Sasa hivi
Mkuu naomba msaada kidogo wa namna ya kusajili course za intermediate, maana kila nikiingia kwenye account nakuta course zilezile za foundation ambazo nilishamaliza. Sioni option ya kuchagua course hizo mpya.
 
Hi mkuu, vipi ulifanikiwa kuregister to intermediate courses?
 
Hello guys, just a reminder kama bado hujalipia mitihani for MAY sit, mwisho wa kulipia bila penalty ni Tar 15 mwezi huu, after hii tarehe kutakua na penalty ya 50% na ukichelewa zaidi itakua 100%, make sure you pay within time.
 
Huu uzi tangu umewekwa. Kuna dogo ndugu yangu alihitimu udsm accounts mwaka 2021 nilimwonesha huu uzi ausome mwaka juz.

Akaanza kusoma CPA ameshamaliza mitihani yake yote ya stage zote na kufaulu.

Na kazi ameshaanza PWC.

Thanks kwa muanzisha uzi ninaamini na wewe umeshamaliza pia
 
Ooh hongera zake sana, kweli kutangulia si kufika mwambie mwanzisha uzi bado anapambana hajamaliza tu[emoji3].
 
Mungu atusaidie, atukumbushe yote tuliyosoma. Atufunulie tusiyoyafahamu. Atupe afya njema wakati wote wa mitihani.

THE GRAND FINALE[emoji3578]
 
Naomba kujua,mwenye CPA anaanza na mshahara wa sh ngapi!? TGS E au F
 
Morning mkuu, Bunju APC ni sehemu ambayo Watu wanafanyia mitihani ya CPA , mbali na venues za mitihani sipajui sehemu nyingine yoyote[emoji3][emoji2088] . Weekend yako utakua huko?
Nitakuwa hapo Riverwood mkuu.Hv ulikuwa hukai Mbagala mkuu! Au nimechanganya madesa
 
Back
Top Bottom