financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
- Thread starter
-
- #421
Mr Confidential, have you made it?Naona Paper ilikua fair. Za final ulifanya zipi na zipi?
Kumbe ndo maana Status za wengi leo zimeandika CPAHatimaye siku tuliyoisubiri ikawadia, results are out, hongereni sana kwa mliofanikiwa kuwa CPA(T) na wengine acha tuendelee kukaza buti, soon to start review classes ready for Mid session(August) and November sit. All the best to all hadi kieleweke[emoji123]
Yes mkuu, waliotoboa wanajipongeza maana si kwa msoto huo😀Kumbe ndo maana Status za wengi leo zimeandika CPA
Mbona mi naona ni masomo mepesi tuYes mkuu, waliotoboa wanajipongeza maana si kwa msoto huo[emoji3]
Umeshaifanya mkuu?Mbona mi naona ni masomo mepesi tu
Nimewahi ipitiaUmeshaifanya mkuu?
Faida yake ni ongezeko la mshahara?CPA now days watu wenye hela wanazipata bila jasho.
Wanafanya ACCA kwanza. Then wanafanya mitihani miwili tu ya bodi ya NBAA wanabeba CPA
Ukiwa na ACCA ukitaka kuwa na CPA unafanya somo la Tax 1 na Tax 11 Pekee kwasababu NBAA wanaitambua ACCA.
Msoto unakuwa mwepesi wa kupata CPA kwa njia ya kupata ACCA kwanza.
Hiyo mbinu wanaitumia PWC kuhakikisha wafanyakazi wao wote wanapata fasta fasta CPA na ACCA
Ok mimi kwa experience yangu mitihani si migumu sana kama utakua serious na huna mambo mengi ila mostly yunasoma huku ukiwa busy kazini, mara familia aah ni changamoto kiasi.Nimewahi ipitia
Inaongeza mshahara?Ok mimi kwa experience yangu mitihani si migumu sana kama utakua serious na huna mambo mengi ila mostly yunasoma huku ukiwa busy kazini, mara familia aah ni changamoto kiasi.
Yes, mtu mwenye CPA ana mshahara tofauti na asiye nayo, pia nafasi nyingi nowdays wanatafuta mtu mwenye CPA so usipokua nayo you're out of competition, serikalini kama huna CPA unaitwa "Afisa hesabu" and not an accountant.Inaongeza mshahara?
Hapo nimeelewa maana yake mshahara hapo na marupurupu hukosi 3mil kwa mweziYes, mtu mwenye CPA ana mshahara tofauti na asiye nayo, pia nafasi nyingi nowdays wanatafuta mtu mwenye CPA so usipokua nayo you're out of competition, serikalini kama huna CPA unaitwa "Afisa hesabu" and not an accountant.
Faida yake ni ongezeko la mshahara?
It depends na negotiations na coy yenyewe kwa private companiesHapo nimeelewa maana yake mshahara hapo na marupurupu hukosi 3mil kwa mwezi
Sio miwili, ni mitatu.CPA now days watu wenye hela wanazipata bila jasho.
Wanafanya ACCA kwanza. Then wanafanya mitihani miwili tu ya bodi ya NBAA wanabeba CPA
Ukiwa na ACCA ukitaka kuwa na CPA unafanya somo la Tax 1 na Tax 11 Pekee kwasababu NBAA wanaitambua ACCA.
Msoto unakuwa mwepesi wa kupata CPA kwa njia ya kupata ACCA kwanza.
Hiyo mbinu wanaitumia PWC kuhakikisha wafanyakazi wao wote wanapata fasta fasta CPA na ACCA
God is Good, He did it againMr Confidential, have you made it?
Congratulations, new CPA (T) in town🙏God is Good, He did it again
I'm now CPA-T Mr Confidential.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kwa ambao hawajapata nafasi ya kuajiriwa kwenye audit firms ila ameajiriwa kama muhasibu sehemu inakuwaje hii? Atapata kweli hii CPAPP?CPA-PP kirefu chache ni Certified Public Accountant in Public Practice. Kuipata CPAPP inatakiwa ufanye kazi kwenye audit firm for at least 3 years. Ukiwa CPAPP unapata mhuri wa kuruhusiwa kuwa auditor hivyo unaweza kufungua audit firm yako.
Huwezi kuwa CPAPP bila kwanza kuwa na CPA. Ukishapata CPA ndio unatakiwa kuajiriwa kwenye audit firm for at least 3 years ili uweze kuwa cpapp.
Naomba unisaidie kufahamu gharama za ACCA ni bei ngapi mkuu?!!Sio miwili, ni mitatu.
ACCA is ×3 expensive than CPA-T
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app