Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

Hatimaye siku tuliyoisubiri ikawadia, results are out, hongereni sana kwa mliofanikiwa kuwa CPA(T) na wengine acha tuendelee kukaza buti, soon to start review classes ready for Mid session(August) and November sit. All the best to all hadi kieleweke💪
 
Hatimaye siku tuliyoisubiri ikawadia, results are out, hongereni sana kwa mliofanikiwa kuwa CPA(T) na wengine acha tuendelee kukaza buti, soon to start review classes ready for Mid session(August) and November sit. All the best to all hadi kieleweke[emoji123]
Kumbe ndo maana Status za wengi leo zimeandika CPA
 
CPA now days watu wenye hela wanazipata bila jasho.

Wanafanya ACCA kwanza. Then wanafanya mitihani miwili tu ya bodi ya NBAA wanabeba CPA

Ukiwa na ACCA ukitaka kuwa na CPA unafanya somo la Tax 1 na Tax 11 Pekee kwasababu NBAA wanaitambua ACCA.

Msoto unakuwa mwepesi wa kupata CPA kwa njia ya kupata ACCA kwanza.

Hiyo mbinu wanaitumia PWC kuhakikisha wafanyakazi wao wote wanapata fasta fasta CPA na ACCA
 
Faida yake ni ongezeko la mshahara?
 
Yes, mtu mwenye CPA ana mshahara tofauti na asiye nayo, pia nafasi nyingi nowdays wanatafuta mtu mwenye CPA so usipokua nayo you're out of competition, serikalini kama huna CPA unaitwa "Afisa hesabu" and not an accountant.
Hapo nimeelewa maana yake mshahara hapo na marupurupu hukosi 3mil kwa mwezi
 
CPA now days watu wenye hela wanazipata bila jasho.

Wanafanya ACCA kwanza. Then wanafanya mitihani miwili tu ya bodi ya NBAA wanabeba CPA

Ukiwa na ACCA ukitaka kuwa na CPA unafanya somo la Tax 1 na Tax 11 Pekee kwasababu NBAA wanaitambua ACCA.

Msoto unakuwa mwepesi wa kupata CPA kwa njia ya kupata ACCA kwanza.

Hiyo mbinu wanaitumia PWC kuhakikisha wafanyakazi wao wote wanapata fasta fasta CPA na ACCA
Sio miwili, ni mitatu.
ACCA is ×3 expensive than CPA-T

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
CPA-PP kirefu chache ni Certified Public Accountant in Public Practice. Kuipata CPAPP inatakiwa ufanye kazi kwenye audit firm for at least 3 years. Ukiwa CPAPP unapata mhuri wa kuruhusiwa kuwa auditor hivyo unaweza kufungua audit firm yako.

Huwezi kuwa CPAPP bila kwanza kuwa na CPA. Ukishapata CPA ndio unatakiwa kuajiriwa kwenye audit firm for at least 3 years ili uweze kuwa cpapp.
Kwa ambao hawajapata nafasi ya kuajiriwa kwenye audit firms ila ameajiriwa kama muhasibu sehemu inakuwaje hii? Atapata kweli hii CPAPP?
 
Back
Top Bottom