Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Nimefanya banking and finance 2023, IFM vigezo vya NBAA itakuaje ๐คAah mkuu usijali kabisa, hizo comments zitumie Kama chachu ya kupambana na siyo kukata tamaa, usiogope kufeli pia foundation level mambo siyo magumu bana unaweza chukua masomo yote na ukatoboa, kuna watu wanapata hadi A A huko, pambana hadi kieleweke kuna raha yake kuwa na CPA mkuu๐
Okay utaomba exemption ya baadhi ya masomo so kati ya 6 utatakiwa kufanya mawili( Financial Accounting na Cost accounting) then after utaanza intermediate 6 subjects na final 4 subjects = CPA T Monetary doctor๐Nimefanya banking and finance 2023, IFM vigezo vya NBAA itakuaje ๐ค
Kwa Sisi tuliohitimu 2016 hata attempt ya CPA hatujafanya, bila shaka ni Mike mnenemkuu usijali kabisa, hizo comments zitumie Kama chachu ya kupambana na siyo kukata tamaa, usiogope kufeli pia foundation level mambo siyo magumu bana unaweza chukua masomo yote na ukatoboa, kuna watu wanapata hadi A A huko, pambana hadi kieleweke kuna raha yake kuwa na CPA mkuu๐
Kwahiyo nitasoma mawili tuu au nitasoma sita ila nitafanya mawili pekee ๐ซ na nitajisajili kwa two subject only??Okay utaomba exemption ya baadhi ya masomo so kati ya 6 utatakiwa kufanya mawili( Financial Accounting na Cost accounting) then after utaanza intermediate 6 subjects na final 4 subjects = CPA T Monetary doctor๐
Bado hujachelewa kama una nia thabiti mkuu, CPA unasoma hadi uzeeni ni wewe tu, unaweza anza next year mkuu mapema JanuaryKwa Sisi tuliohitimu 2016 hata attempt ya CPA hatujafanya, bila shaka ni Mike mnene
Utasoma hayo mawili mengine utakua exempted, sheria ni kwamba kama unataka kuomba exemptions inatakiwa uwe hajazidi miaka 5 tangu umalize chuo, so 2023 ni miaka 3 so utapewa hiyo exemptions ya masomo 4, ila inabidi uandae malipo ya kuomba hiyo exemptionsKwahiyo nitasoma mawili tuu au nitasoma sita ila nitafanya mawili pekee ๐ซ na nitajisajili kwa two subject only??
Ahaaa ni bei gani boss kwa hayo manne, ๐ค nikimaliza CPA sisomi tena wallah ๐Utasoma hayo mawili mengine utakua exempted, sheria ni kwamba kama unataka kuomba exemptions inatakiwa uwe hajazidi miaka 5 tangu umalize chuo, so 2023 ni miaka 3 so utapewa hiyo exemptions ya masomo 4, ila inabidi uandae malipo ya kuomba hiyo exemptions
Hahaa hata mimi nilisema sisomi tena ila sahivi ndiyo namalizia Phd๐๐ joke bana ila nataka nianze masters๐๐พโโ๏ธ kuhusu gharama nahisi kutakua na mabadiliko ila by then ilikua unalipia exams exemption 160,000 na Candidacy โฆ. 115,000 hivi jumla 275,000 , kwa sasa sina uhakika na gharama ila unaweza wapigia kuuliza all the important details wanarespondAhaaa ni bei gani boss kwa hayo manne, ๐ค nikimaliza CPA sisomi tena wallah ๐