Wanaotaka Sharia katika nchi za Uingereza na Ujerumani ni wakati sasa kutilia maanani onyo analotoa Mosab Youssef?

Nawakaribsha wana JF msikilize wenyewe hotuba aliyotoa mtoto wa mmoja wa founders of Hamas, aliyoitoa kwenye Bunge la Ulaya.

Kwa kifupi jamaa huyu anauonya umoja wa ulaya kuwa dhana nzima ya utaifa wa Palestine ni njama ambazo Yasser Arafat akisaidiwa na KGB ya Soviet Union walibuni kwa manufaa binafsi.

Kwanza Kabisa Arafat ni Mmisri kabisa, ikatokea tu babayake kupitia biashara akapata makazi Raffa. Anaendelea kuwaonya kuwa nyuma ya pazia Arafat alikuwa mwanachama wa Muslim Brotherhood ambao agenda yao ya kusimamisha world islamic caliphate inajumuisha kuanza kutwaa mji wa Jerusalem, Al-Andalus (Spain wanayodai ni mali ya waislamu).

Kuna mambo mengine mengi nawasihi mjisikilizie wenyewe ili mtoe maoni

View: https://x.com/MosabHasanYOSEF/status/1849234753234342359
View attachment 3134190

Kwahiyo wa Russia kupitia KGB wapo tayari kuwa waislam.
Kama KGB wapo kwenye huo mpango, inamaana Russia itakuwa dola la Kiislamu chini Vladimir Putin ( atabdili jina na kuwa AHMAD)
 
Unajua sana ninacho ongelea sema unajirusha ufahamu tu.
We hamna kitu , unaijua ....Wakati marobot ya AI yapo dubai miaka kibao kweny Mall ...MTu unatokea kijijini hauna haki ya kuongea . 😀 😀 😀

Wenzio wana vikwazo hawategemei msaada kama wewe maskini ila wako mbali .
 
Dubai wamenunua Pegasus kutoka Israel kama wana uwezo si wangetengeneza?!😃
Hamna unachojua , nchi zote pale zina maendeleo sio kama kwenu ....Wewe umeijua mwaka huu naona ....Dogo tafuta pesa acha kushobokea watu 😀 😀

Watu wako mbali , zile rocket unafikiria wanazitoa wapi ?
 
Kuna vitu najiuliza sana, kabla ya 1948, Palestina, Jordan, Lebanon nk zilikuwa na amani na waliishi vizuri, shida ilianza hapo 1948.

Tunapowashutumu waarabu kujazana Ulaya, tuangalie pia interference ya USA kwenye nchi zao na kuleta maafa,Leo wanazikimbia kwenda Kwa waliowaletea machafuko tunaanza kuwaona wakorofi.

Libya, Iraq, Syria nk zilikuwa na amani lakini ni USA na NATO ndio waliozivuruga.
Saudia yalipogunduliwa mafuta miaka fulani nyuma huko ndio USA akajipeleka na kuwachonganisha na Iran na ndio ikawa shida pale Iran baada ya mapinduzi ya Iran.

Waarabu wameamua kwenda kudestabilize Ulaya na America kama wao walivyodestabilize Mashariki ya kati Kwa interest zao
Akili finyu ukamgombanishe mwenye akili kubwa?. Wewe Kama mtu anatokea uko anakugombanisha na unakubali kugombana jipime akili yako.
 
Hamna unachojua , nchi zote pale zina maendeleo sio kama kwenu ....
Nakueleza ukweli kuwa Mwarabu ananunua technology ambazo ziko under licence kutoka Western.

Kidogo Muiran anajaribu kidogo japo kwa kukopi.

Mtaendelea kupigwa na kuaibishwa mbele ya macho ya Dunia endeleeni tu kuExport UGAIDI Duniani
 
Nawakaribsha wana JF msikilize wenyewe hotuba aliyotoa mtoto wa mmoja wa founders of Hamas, aliyoitoa kwenye Bunge la Ulaya.

Kwa kifupi jamaa huyu anauonya umoja wa ulaya kuwa dhana nzima ya utaifa wa Palestine ni njama ambazo Yasser Arafat akisaidiwa na KGB ya Soviet Union walibuni kwa manufaa binafsi.

Kwanza Kabisa Arafat ni Mmisri kabisa, ikatokea tu babayake kupitia biashara akapata makazi Raffa. Anaendelea kuwaonya kuwa nyuma ya pazia Arafat alikuwa mwanachama wa Muslim Brotherhood ambao agenda yao ya kusimamisha world islamic caliphate inajumuisha kuanza kutwaa mji wa Jerusalem, Al-Andalus (Spain wanayodai ni mali ya waislamu).

Kuna mambo mengine mengi nawasihi mjisikilizie wenyewe ili mtoe maoni

View: https://x.com/MosabHasanYOSEF/status/1849234753234342359
View attachment 3134190

Wanatumia njia mbovu kutaka jambo zuri, hawana Nguvu , hawana jeshi na hawana ufahamu wa dini yao na jambo lao kamwe halitafanikiwa.
Mpaka watakaporejea na kuenda katika njia na muenendo wa MTUME (juu yake sala na salamu ) na katika Njia na Mienendo ya Sahaba na wema waliopita.

Ama hizi njia wanazotumia kwenda kupiga mikwara katika Miji ya watu si sawasawa kwani Miji ya Kiislam ipo na wahamie huko
Waende Saudia,na Miji yenye waislamu wengi kama vile Falme za Kiarabu, Jordan, Indonesia, Brunei , Meldev n.k
 
Lakini Naomba tu ujue kuwa Israel haina shida kuishi pamoja na waarabu, na ndiyo maana Kati ya raia wake milioni 10, milioni 2 ni waarabu waislam na hamna shida kabisa mfano wakina mama wanavaa hijabu wale wanaotaka na hakuna mtu wa kuwazuia. Vile vile tukimbuke 2005, Serikali ya Israel iliwatoa kwa nguvu wayahudi wote iliokuwa imewaruhusu kuishi na kuwekeza Gaza ili kupisha WaEgypt wa Gaza wajitawale
 
Nawakaribsha wana JF msikilize wenyewe hotuba aliyotoa mtoto wa mmoja wa founders of Hamas, aliyoitoa kwenye Bunge la Ulaya.

Kwa kifupi jamaa huyu anauonya umoja wa ulaya kuwa dhana nzima ya utaifa wa Palestine ni njama ambazo Yasser Arafat akisaidiwa na KGB ya Soviet Union walibuni kwa manufaa binafsi.

Kwanza Kabisa Arafat ni Mmisri kabisa, ikatokea tu babayake kupitia biashara akapata makazi Raffa. Anaendelea kuwaonya kuwa nyuma ya pazia Arafat alikuwa mwanachama wa Muslim Brotherhood ambao agenda yao ya kusimamisha world islamic caliphate inajumuisha kuanza kutwaa mji wa Jerusalem, Al-Andalus (Spain wanayodai ni mali ya waislamu).

Kuna mambo mengine mengi nawasihi mjisikilizie wenyewe ili mtoe maoni

View: https://x.com/MosabHasanYOSEF/status/1849234753234342359
View attachment 3134190

Mtajuana wenyewe, mnaoamini mavitabu yenu yaliyokuja kwenye majahazi.
 
Kwahiyo wa Russia kupitia KGB wapo tayari kuwa waislam.
Kama KGB wapo kwenye huo mpango, inamaana Russia itakuwa dola la Kiislamu chini Vladimir Putin ( atabdili jina na kuwa AHMAD)
Kwa kifupi kuna kiłę Wajuzi wa Siasa za Kimataifa wanakiita alliance of convenience between islamists and communists ili. Wanakutania wapi? Ni palę ambapo communists want to destroy capitalism so they can dominate the world by replacing USA and their Allies. Muslims they want to destroy both Israel(best friend of USA) na pia destroy USA itself because USA by being in Saudi Arabia they have profaned the holy land MECCA. Makusudi hayo mawili ndiyo yanawaleta pamoja islamists, Russia and China
 
Kuna vitu najiuliza sana, kabla ya 1948, Palestina, Jordan, Lebanon nk zilikuwa na amani na waliishi vizuri, shida ilianza hapo 1948.

Tunapowashutumu waarabu kujazana Ulaya, tuangalie pia interference ya USA kwenye nchi zao na kuleta maafa,Leo wanazikimbia kwenda Kwa waliowaletea machafuko tunaanza kuwaona wakorofi.

Libya, Iraq, Syria nk zilikuwa na amani lakini ni USA na NATO ndio waliozivuruga.
Saudia yalipogunduliwa mafuta miaka fulani nyuma huko ndio USA akajipeleka na kuwachonganisha na Iran na ndio ikawa shida pale Iran baada ya mapinduzi ya Iran.

Waarabu wameamua kwenda kudestabilize Ulaya na America kama wao walivyodestabilize Mashariki ya kati Kwa interest zao
Waarab wamechonganishwa , kwamb hawana akili ya kujua mbivu na mbich? Kusema wamechonganishwa ni kuwatukana waarab
 
Wewe ndiyo fala kabisa , uko dunia ya ngapi? Yaani mjinga unaambiwa ukweli unabisha ...Rudi ukasome hujui chochote kile unaongea kwa kulazimisha urafiki na hao watu wala hawataki wenyewe .

Unaijua sheria ya Jews dhidi ya wakristo ? Yaani unalia kisa nimeonesha suala la kweli 😛 😛 kwa kweli bado unaamini ujinga ....

View attachment 3134284
Hata ufanye nini wewe mufuasi wa paedophile Muhammad na worshiper wa shetani kaallah huwezi badili msimamo wa wakiristo kuunga mkono wayahudi. Nyinyi Islamists ndiyo maadui mlioelekezwa na Quran yenu kuwaua wayahudi na wakristo. Hata huyo Mosad Yussef amelisema Hilo. Na Nike ambie kitu? Dismantaling of Islam will start from within. MBS wa Saudi Arabia atawanyoosha mpaka mseme poo
 
I admire Arabs. They're making sure they overpopulate knowing democracy is a game of numbers. Soon the UK will legally be Arabic.

Tatizo nikuwa kama watakuwa wamegawanyika upande wa shia na upande sunni basi wakishatawala wataanza kuchapana wenyewe kwa wenyewe.. sababu mgawanyiko wa Sunni na Shia kwenye uislam hauko kwenye iman..

Uko kisiasa maana kila upande wanadai role model wao ndio alipaswa kuwa mrithi wa mtume..

Sijawahi kuelewa hili kwa nini Mtume
Ambaye inaaminika Alichaguliwa na Mungu kufundisha watu kuishi kwa njia za kuwa mwaminifu katika imani bado Waislam walirihusu ugomvi wa kisiasa na kiutamadunj wanki Arab ambazo msingi wake utaona its a based arab geopolitic and clan issue ndo uwe center ya utawala wa kiimani yao as if hii imani ya ki islam ni mali ya Waarab peke yao.. maana ukiniuliza mie chimbuko la Shia na sunni ni ugomvi wa madaraka ya utawala wa kidunia it has nothing to do with being submissive to God A.k.a "Islam" .

hivi Muislam wa Africa au wa india inamsaidia nini nae kushabikia kuwa mrithi wa kweli wa mtume ni yule aliyekuwa anafata misingi na njia za mtume au (ndio hawa Sunni, and the world "Sunni" literally means followers of sunna or "way" (of) Mohamad (SAW)

Au huyo Huyo muislam wa Africa ashabikie kuwa mrithi wa mtume lazime atoke kwenye bloodline au family tree ya mtume kwani wanaamini its a part of devine order, ndio hawa wa "Shia" au in Arabic "Shiatu Ali" au kwa tafsiri nyepesi ni wanaomfata Ali ambaye alikuwa mkwe au binamu wa mtume

Na wanamu idolize kwa kuwa na siku ya kumbukumbu yake wengine wanajipiga had dam zinatoka

Hii inamsaidiaje kiimani Muislam Ambaye sio Mwarabu.. maana hizo pande mbili ni matokeo ya mfaraganyiko wa siasa na tamaduni za Kiarabu.
 
Hata ufanye nini wewe mufuasi wa paedophile Muhammad na worshiper wa shetani kaallah huwezi badili msimamo wa wakiristo kuunga mkono wayahudi. Nyinyi Islamists ndiyo maadui mlioelekezwa na Quran yenu kuwaua wayahudi na wakristo. Hata huyo Mosad Yussef amelisema Hilo. Na Nike ambie kitu? Dismantaling of Islam will start from within. MBS wa Saudi Arabia atawanyoosha mpaka mseme poo
Naona dogo unalia , unalazimisha shobo wakati hawakutaki ....Kuunga mkono wapi wenzio hawataki ... 😀 😀 😀 Mosad kijana wa juzi tu, eti alisema basi mtaanza kumuabudu .
 
Ijumaa leo nenda kamuinamie kaallah, shetani that's why you are always ugly
Screenshot_20241020-191500_Chrome.jpg
 
Nauliza hili swali na sijibiwi kabisa.

Ivi Sharia Law ndio Uislamu ?
Mbona haipo kwenye Qurani ?
Kwahiyo nyie Muslims ambao hamzifati hizo Sharia hamtafika huko peponi kwenu ?
Lengo la Sharia nini haswa,?
Muslims mnazitoa wapi hizo Sharia hadi mnafanya vurugu ili watu wote wazifate ?
 
Ni wakati sasa Europe kuchukua hatua kutimua waarabu kabla hawajaanza chokochoko za ugaidi.
Better late than never
Nchi za Ulaya zinakwenda mashariki ya kati kuharibu maisha ya watu, huko Iraq, Syria, Afghanistan n.k wanasababisha wakimbizi wakimbie nchi zao waingie Ulaya ..

Hivyo ni sawa tu, wametaka wenyewe, waoambane na hali zao.

Hao waarabu nchi zao zisingevamiwa wangeendelea kuishi kwao.
 
Back
Top Bottom