Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,493
- Thread starter
-
- #41
Chama gani Mkuu?Tutatoana jasho kwanza kura za maoni na ningeomba ziwe huru na za haki!
Najivunia sana nguvu kubwa niliyo nayo kutoka kata za Ipinda,sehemu ambayo nina nguvu mno kisiasa!
Uchaguzi wetu wa kura za maoni chini ya Mzee Kasyupa ukiwa huru na wa haki,nitashinda
Tukutane kura za maoni kaka!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimejipanga vyema Mkuu....hapa namalizia ujenzi wa chama kwenye ngazi ya chini kabisa kwa maeneo ya KimkakatiWe nyakapala umeshandaa lesson plan na scheme???kama bado hufai kugombea wewe sio mwajibikaji!!!
[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547] ni rahisi kumtoa kwasababu zozote atakuwa hakubaliki kiasi hichooo ila mikakati yako ndo muhimuJimbo la Sumve, Kuna mbunge toka 1995yupp tu anasema hajazaliwa bado mtu wa kumtoa, nafikiri Ni muda muafaka wa kumtoa akalime pamba.
[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]Wilaya ya Kyela hakuna namna mzee Mwakyembe inabidi atuachie vijana wenye uchungu na Kyela yetu, japo mi ni kijana mdogo sana ila kama Chama kitaniamini na uchaguzi wa Kura za maoni ukawa wa huru na Haki basi tutatoshana kwenye kura za maoni Vijana wenzangu wa Bujonde,Busale, Ibanda na Kyela mjini nakuja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kongwa nakusaidia maana majimbo haya yamekuwa ya mwisho kwenye kila kitu,njoo mapema tujenge chamaKwa Usongo Nalipigia jalamba Jimbo la Kongwa.
[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]Mimi Arumeru Mashariki
Chama cha Chadema
Mpwa usitishe wagombea....kukata tamaa ni dhambiTupe namba ya kadi yako ya uanachama na udhibitisho wa kulipa ada za uanachama kila mwaka. Haya ndiyo maswala ya msingi kwao utakayoulizwa. Ha ha haaa! Nakuonaona unavyoanza kubabaika....ha ha ha haa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwahiyo wewe bado hujazaliwa..?
Nimetumwa na Mh. Richard Ndassa, mbunge wa kudumu nikuhoji.
MBUNGE WENU NI RICHARD NDASA! MTOENI HUYOJimbo la Sumve, Kuna mbunge toka 1995yupp tu anasema hajazaliwa bado mtu wa kumtoa, nafikiri Ni muda muafaka wa kumtoa akalime pamba.
Unafaa sana,Mimi mwananchi wakoNatafakari kugombea na kumng'oa Mwakyembe Kyela ( iwapo chama kitaona nafaa )
Ipinda ,nyumbaniTutatoana jasho kwanza kura za maoni na ningeomba ziwe huru na za haki!
Najivunia sana nguvu kubwa niliyo nayo kutoka kata za Ipinda,sehemu ambayo nina nguvu mno kisiasa!
Uchaguzi wetu wa kura za maoni chini ya Mzee Kasyupa ukiwa huru na wa haki,nitashinda
Tukutane kura za maoni kaka!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nataka kumng'oa daniel mtuka manyoni mashariki.Sema unataka kugombea jimbo gani na chama gani ili upate ushauri na Watu wa kukuunga Mkono....
Mimi nagombea Mtera-Dodoma.
Chama-Chadema
2020-2025
Naomba kama naweza kupata ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app